Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 825
- 134
EMIRATES CUP 2010
![]()
Marouane Chamakh
Arsenal 1-0 AC Milan
Emirates Cup
Saturday, July 31, 2010, 16:20
Wamerudisha...............................mkuu, vipi unasemaje hapo!
EMIRATES CUP 2010
![]()
Marouane Chamakh
Arsenal 1-0 AC Milan
Emirates Cup
Saturday, July 31, 2010, 16:20
Wamerudisha...............................mkuu, vipi unasemaje hapo!
Hii timu bana haiishi vituko, naona jezi mpya zinavaliwa na sidiria..Bwe he he he..
...ha h haaa,...nilidhani peke yangu nafuatilia.
Pouwa,...sie ni mabingwa watetezi,...tukilipoteza hili pia mnh...
nilikuwa nacheki pia nilipita hapa nikaona kimya lol.
he he he! Rossoneri ushaanza sasa. ha ha ha...!
Salama wakuu?????
Mkuu Wacha1, za siku....vipi utakuwepo 15.08.2010, two weeks to come? Itabidihapa tuwepo tuone jinsi gani Livrpool wanavyofungwaVipi mkuu lete habari? Naona Cach Cole anabwaga manyanga jamaa wanabaki na muuza unga akishirikiana na mwizi.
Mkuu Wacha1, za siku....vipi utakuwepo 15.08.2010, two weeks to come? Itabidihapa tuwepo tuone jinsi gani Livrpool wanavyofungwa
tupo pamoja mkuu, mie hapa wanaonesha kwenye tv. tunajiandaa na msimu mpya huku tukiendelea kuomba wenger alete kipa mpya soon.Wakuu tumetingwa na uchaguzi....wengine tuna cheki mchi hapa MyP2P.eu :: International Friendly Matches - Arsenal vs. Celtic jichagulie
Atatusaidia sana ila sifikirii kama gaffer atampa gemu za kutosha, ukizingatia Fabregas bado tunae na Ramsey atarudi pia yupo Denilson.game nzuri sana . No way huyu Wilshere kwenda on loan tena,dogo yuko ready Wenger tu ambanie kama kawaida yake.
3-0 Nasri nzuri sana
swala la kipa ndio linaniumiza kichwa pia mkuu.tuombe mungu tu alete kipa kama hato leta kipa basi ngoma yetu ngumu tena.
3 - 13-0 Nasri nzuri sana
3 - 23 - 1