DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Hahahahahaha
Napenda kuwakumbusha waombolezaji kutoka Stamford Bridge, hapa ni msibani, msitegemee kushiba maharage hakuna mtakunywa chai na maandazi mawili mawili tu. Waombolezaji wanaendelea kufurika!
Nilikuwa nadhani waneza baatisha mkuu.Kumbe ulikuwa una waletea unafiki humu ulikuwa unajua kabisa Arsenal ni wazee wa kupigwa vipigo heavy weight katika big mechi ukawa unawasapoti kinafiki
CHELSEA ni shangwe kila daily mkuu.Mkuu msiba unaweza amishiwa CHELSEA leo
Andaeni maturubai lolote linaweza kutokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso na Willian Nina hakika wakija apo Looserpool first XI itawahusu.Kumbe na Nyinyi Washabiki Wa Arsenal Wanayo Haya??
Tukisema sisi kule juu Useless players kama hawa unajifanya kuleta Unafiki.
Sasa Mtag Malafyale muje musaidiane kuwashambulia hao Washabiki wasiwaponde Wachezaji Wa Arsenal.
Wewe na Ollachuga Oc Hamudefiniki!!
Wao kule daily Wanamkataa Willian na Alonso wanasema hawafai Ni Wa Kuondoka Chelsea!!
Lakini akija kwenye Uzi wetu anatukosoa sisi tunaosema Hendoshoga hafai!!
Unafiki mwengine bhana!!!
Naona ban yako imeisha karibu tenaSo apparently, just like with Fellaini's hairpull on Guendouzi, because the referee dealt with it the FA won't take retrospective action.
This is wrong, both incidents are deemed "dangerous conduct" and not only can be dealt with by the FA afterwards, but absolutely SHOULD be.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHELSEA ni shangwe kila daily mkuu.
Kama tulivyofungua njia kwa Man city..
Ndivyo tutakavyo fungua na kwa Liverpool ..
Sisi ndo mwanzo wa kupoteana kwa City.
Vivyo hivyo na Liverpool itakavyokuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kinachotubeba wwAlonso na Willian Nina hakika wakija apo Looserpool first XI itawahusu.
Alonso atamweka nje Gomez au Robertson
Willian atamweka nje Firmino, ikiwezekana hata Mane.
Hawa ni players wanaocheza fisrt XI kwnye timu yeyote ile..
Sio kwamba hatuwataki ila tungekuwa na front line nzur kama ya Looserpool basi wangetakata sana.
Kinachowabeba ninyi mna ukuta imara na front nzuri lakini apo kati pa kawaida sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapooza machungu mkuuMm nipo daily, toka juz nilisema ashukuriwe mike oliver
View attachment 982062
Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso na Willian Nina hakika wakija apo Looserpool first XI itawahusu.
Alonso atamweka nje Gomez au Robertson
Willian atamweka nje Firmino, ikiwezekana hata Mane.
Hawa ni players wanaocheza fisrt XI kwnye timu yeyote ile..
Sio kwamba hatuwataki ila tungekuwa na front line nzur kama ya Looserpool basi wangetakata sana.
Kinachowabeba ninyi mna ukuta imara na front nzuri lakini apo kati pa kawaida sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
CHELSEA ni shangwe kila daily mkuu.
Kama tulivyofungua njia kwa Man city..
Ndivyo tutakavyo fungua na kwa Liverpool ..
Sisi ndo mwanzo wa kupoteana kwa City.
Vivyo hivyo na Liverpool itakavyokuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nipo daily, toka juz nilisema ashukuriwe mike oliver
View attachment 982062
Sent using Jamii Forums mobile app




Nawe pia,tupo pamojaHeri ya mwaka mpya 2019 kwenu mashabiki wenzangu wa Arsenal,Mungu awabariki sana katika mishe zenu awape afya njema na kila lililo jema....
Hii thread ni sehemu yangu pia nakutana na marafiki wapya ingawa hatufahamini ila tunaishi poa,mbarikiwe.
Wewe ulipigwa 6 mwaka 2007 hapo anfieldNaona Sasa Nawewe umekuwa Mzee Wa Historia![]()
Si mulikuwa mulikuwa Munatuita sisi Ni wapenda historia?
Sasa unachofanya wewe Ni Nini hapa? 😀😀
Basi ngoja tujikumbushe historia hapa!
28 Oct 1893
Arsenal0 - 5 LiverpoolLeague
09 Feb 1907
Liverpool 4 - 0 ArsenalLeague
15 Feb 1908
Liverpool 4 - 1 ArsenalLeague
01 Jan 1910
Liverpool 5 - 1 ArsenalLeague
30 Dec 1911
Liverpool 4 - 1 ArsenalLeague
01 Feb 1913
Arsenal 1 - 4 Liverpool FA Cup
25 Feb 1922
Liverpool 4 - 0 ArsenalLeague
26 Aug 1922
Liverpool 5 - 2ArsenalLeague
17 Jan 1923
Arsenal 1 - 4 Liverpool FA Cup
23 Nov 1946
Liverpool 4 - 2 ArsenalLeague
18 Apr 1964
Liverpool 5 - 0 ArsenalLeague
11 Dec 1965
Liverpool 4 - 2 ArsenalLeague
1996 Wed 27 Nov
Liverpool 4 - 2 ArsenalLeague Cup
1998Wed 06 May
Liverpool 4 - 0 ArsenalLeague
2000 Sat 23 Dec
Liverpool 4 - 0 ArsenalLeague
2007Sat 31 Mar
Liverpool 4 - 1 ArsenalLeague
2008Tue 08 Apr
Liverpool 4 - 2 Arsenal Chmp.Lge.
2014 Sat 08 Feb
Liverpool 5 - 1 ArsenalLeague
2016Sun 14 Aug
Arsenal3 - 4 Liverpool League
2017Sun 27 Aug
Liverpool 4 - 0 ArsenalLeague
2018Sat 29 Dec
Liverpool 5 - 1 ArsenalLeague
Sasa hapo utafanya Evaluation mwenyewe ujue Ni Nani aliyechezea Vipigo Vikubwa Vingi zaidi.
Najua wewe umeshatufunga 8 na 6 wakati sisi hatujawahi kukufunga hizo!
Lakini kwa ujumla hizi 4 na 5 kukufunga tumeshakuzoea Mara nyingi zaidi.
Hata hivyo usijifariji kwa Matokeo ya Enzi za Ukoloni bali umia na vipigo vitakatifu vya miaka hii tuliyopo.