fadtanji
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 768
- 1,000
[emoji23][emoji23][emoji23] Mamaeee, na kesho tunampiga bournmouth tunawapumulia kisogoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo linafahamika na halina ubishi sehemu ya ulinzi ni mwiba mchungu kwetu ila tunaendelea kupambanaGame litatulia tunaweza kuambulia angalau sare.
Ila safu ya ulinzi ya Arsenal bado sana, tuwe wakweli.
acha papara game bado mbichi
Sure ile Mechi yetu tulipambana 1-1 mpaka dakika ya 67 alivyoingia Shaqiri akaharibu mchezo. Hawa wameongozwa toka dakika ya 12 [emoji1787]Emery ana bahatisha, I guess he is frustrating players, ni wazi hajui anachokitaka na anachokifanya
Umesema kweli kabisa. Si mwelewi kabisaEmery ana bahatisha, I guess he is frustrating players, ni wazi hajui anachokitaka na anachokifanya
Ukirudisha nakupa hata nyumba. First half ushakula nne. Na bado kipindi cha pili ule sabaacha papara game bado mbichi
Leicteiner na Mustafi naona wanatukanana hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] WATAPATA TABU SANAAA
Sent using Jamii Forums mobile app