View attachment 980069
Ozil amepata majeraha ya goti akiwa mazoezini ingawa inaonekana aliumia toka game ya Brighton ivyo hatokua sehemu ya mchezo dhidi ya Liverpool
Chanzo cha habari😀avid Ornstein.
View attachment 980069
Ozil amepata majeraha ya goti akiwa mazoezini ingawa inaonekana aliumia toka game ya Brighton ivyo hatokua sehemu ya mchezo dhidi ya Liverpool
Chanzo cha habari😀avid Ornstein.
Gemu ya leo sio type ya Ozil, afadhali hayupo. Gemu za mchaka mchaka ozil hawezi. Gemu zake ni za vitimu vidogo.View attachment 980069
Ozil amepata majeraha ya goti akiwa mazoezini ingawa inaonekana aliumia toka game ya Brighton ivyo hatokua sehemu ya mchezo dhidi ya Liverpool
Chanzo cha habari😀avid Ornstein.
"We now know Mesut Ozil is out of Arsenal’s game at Liverpool tomorrow," Ornstein tweeted. "He trained with the squad today but complained of pain in his knee and was withdrawn from the travelling party.
Natamani kuwa upande wenu lakini bado pagumu maana liverpool anaweza kuwapiga leo huu mwez december si rafiki kwa arsenal
Mwezi huu hata droo moja hatujatoa, kwa hiyo huyu naye anaingia kwenye case hii.
Vile tu ni big game chochote linaweza tokea, lakini ukiangalia squad conditions, current form, Arsenal yuko as an underdog, it is not even close.
mkuu wacha kujifariji
Liverpool kwa sasa ni moto wa kuotea mbali,,tafadhari usijitoe ufahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Predicted Arsenal lineup (3-4-1-2): Berno Leno, Sokratis, Laurent Koscielny, Granit Xhaka, Ainsley Maitland-Niles, Lucas Torreira, Mateo Guendouzi, Sead Kolasinac, Aaron Ramsey, Alexandre Lacazette, Pierre-Emerick Aubameyang
hapo tunaona xhakaboom,koscielny na sokratis wakiweka ukuta pale nyuma huku kola na maitland wakipiga wingback ,katika eneo la katikati kama kawaida litakuwa chini ya himaya ya torreira na gue,wakati huo ramsey atakuwa nyuma ya washambuliaji wawili ambao ni PEA na Laca kusukuma mashambulizi.....
Mungu jaalia tufanikishe vyema zoezi la kutatua bikira ya hawa kuku wa liverpool