Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man united anakunyemelea..

Ukipigwa na liver halafu yeye akashinda basi utakuwa na hali mbaya sana.

Pambana ushinde.
 
Hii team wanacheza kwa maneno ya mdomon lakin kwenye field ni zero kabisa.

Tarh 29 karibun Anfield tuwaonyeshe kazi, hamna kikosi cha kushindana na liver huo ndio ukweli mchungu.

Manatoa draw na Brighton mnajielewa kwel nyie? Kikosi kizima kilipangwa kuanzia Auba, Torori, gazeti, etc sasa sjui mnataka nini
Na nyie Liverpool mna matambo sana.

Mkipigwa na arsenal sijui mtaficha wap nyuso zenu..
 
Aje huyu mtu, na beki 2 za kati,
afcupdates1-20181228-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A bizarre clause in Alex Oxlade-Chamberlain's contract at Arsenal has been revealed, that meant Southampton had to be paid £10,000 every time he played more than 20 minutes.
The England international spent six years at the Emirates Stadium under Arsene Wenger before moving to Liverpool in August 2017.
And it appears his lack of consistent game time in north London may have been down to contractual reasons, instead of tactical.
052B0EB3000003E8-0-image-a-9_1545937084671.jpg

+4
Arsenal 'had to pay Southampton £10k if Alex Oxlade-Chamberlain played over 20 minutes

A new book by Alan Gernon, The Transfer Market: The Inside Stories, notes that the midfielder was 'predominantly used as a substitute, often around the 71-minute mark'.
And there is a reason behind that. A section adds: 'Following Alex Oxlade-Chamberlain's move to Arsenal in 2011, Gunners fans became increasingly frustrated with the midfielder's lack of playing time.
'After his contract details emerged, it all became clear: Arsenal were obliged to pay Southampton £10,000 every time he played 20 minutes or more.'
The 25-year-old eventually left the club last year in a bid to further his development.

aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhh
 
Kesho Tunashinda vzr iwapo bek no 2 itafanya majukumu yake,

Mpaka sasa ninaona upungufu bek no 2 tu, coz niles sio mzur kutia majaro, babu lich sitak kumzungumzia , kila mtu anajua babu hawez kupiga hata kross

Bek za kati akicheza papa hata na kos, au kama mustaf atakuwa fit hatutayumba sana,bek 3 yupo muhun kola

Kati mnajua akiwepo xhaka ,toreira pana usalama, sion kiungo cha liver cha kubattle na wahuni hawa

Kule mbele awepo laca kusumbua mabek, ili auba apate pace atupie, na kesho inatiwa aanze na iwobi kabisa tuwafos upande ule wa trent anord , ili kola awe analeta V kwa ajir ya laca na auba kumaliza shughuli,au auba acheze pemben kusubir mipira kutoka kwa kola kwa ajir ya kuingia nayo ndani

Muhind kampa arsenal 6 odds nimezifata bila kujiuliza,

Kesho kama tutafungwa bas makosa yataanzia kwa bek namba 2 not otherwise ,

Iwapo liver watambwela upande wa mane , bas wamekwisha

Tutawapiga 3+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kikosi kinachoelekea Anfield: Leno, Cech, Martinez, Jenkinson, Lichtsteiner, Koscielny, Papastathopoulos, Mustafi, Medley, Maitland-Niles, Xhaka, Elneny, Torreira, Guendouzi, Ramsey, Iwobi, Ozil, Saka, Lacazette, Aubameyang, Nketiah.

Mustafi pekee ndio mchezaji mwenye mashaka kutokana na majeruhi ila maendeleo yake yanaridhisha na anaweza kujumuishwa kama ikimpendeza kocha
 
Kesho Tunashinda vzr iwapo bek no 2 itafanya majukumu yake,

Mpaka sasa ninaona upungufu bek no 2 tu, coz niles sio mzur kutia majaro, babu lich sitak kumzungumzia , kila mtu anajua babu hawez kupiga hata kross

Bek za kati akicheza papa hata na kos, au kama mustaf atakuwa fit hatutayumba sana,bek 3 yupo muhun kola

Kati mnajua akiwepo xhaka ,toreira pana usalama, sion kiungo cha liver cha kubattle na wahuni hawa

Kule mbele awepo laca kusumbua mabek, ili auba apate pace atupie, na kesho inatiwa aanze na iwobi kabisa tuwafos upande ule wa trent anord , ili kola awe analeta V kwa ajir ya laca na auba kumaliza shughuli,au auba acheze pemben kusubir mipira kutoka kwa kola kwa ajir ya kuingia nayo ndani

Muhind kampa arsenal 6 odds nimezifata bila kujiuliza,

Kesho kama tutafungwa bas makosa yataanzia kwa bek namba 2 not otherwise ,

Iwapo liver watambwela upande wa mane , bas wamekwisha

Tutawapiga 3+

Sent using Jamii Forums mobile app

Hill bandiko limejaa iwapo, kama, ikiwa ...

Kesho mnakufa, away team wape no goal. Kesho hata la kufutia jasho hampati.
 
Kesho Tunashinda vzr iwapo bek no 2 itafanya majukumu yake,

Mpaka sasa ninaona upungufu bek no 2 tu, coz niles sio mzur kutia majaro, babu lich sitak kumzungumzia , kila mtu anajua babu hawez kupiga hata kross

Bek za kati akicheza papa hata na kos, au kama mustaf atakuwa fit hatutayumba sana,bek 3 yupo muhun kola

Kati mnajua akiwepo xhaka ,toreira pana usalama, sion kiungo cha liver cha kubattle na wahuni hawa

Kule mbele awepo laca kusumbua mabek, ili auba apate pace atupie, na kesho inatiwa aanze na iwobi kabisa tuwafos upande ule wa trent anord , ili kola awe analeta V kwa ajir ya laca na auba kumaliza shughuli,au auba acheze pemben kusubir mipira kutoka kwa kola kwa ajir ya kuingia nayo ndani

Muhind kampa arsenal 6 odds nimezifata bila kujiuliza,

Kesho kama tutafungwa bas makosa yataanzia kwa bek namba 2 not otherwise ,

Iwapo liver watambwela upande wa mane , bas wamekwisha

Tutawapiga 3+

Sent using Jamii Forums mobile app
sina mashaka na hii game nimezifata point 6 pasi na shaka Emery hawezi kumuweka babu upande wa kulia kesho....licha ya majeruhi tuliyonayo napenda angalau hata amweke Jenkinson ....eneo la katikati lipo salama salmini maana majembe yote yapo.....xhaka,torreira,ramsey,guendouz,ozil.....pale mbele ndio sina haja ya kuzungumza .......shida ni hapa katika backline tu ambapo ikiwa sawa mm ntakuwa naagizia fanta bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiddddddddddddddddddddd huku tukipeleka kilio kwa kuvunja bikra ya mtu..........................
 
emery anazingua, how come anacheza defensive footbal kwa kuweka 3 Defensive midifielders na pia wanaheza sana backward passes
 
Back
Top Bottom