Nazan tutaelewana tu taratibu taratibuView attachment 974670
Niliona lacazete akilalamika alipofika nje baada ya sub.
Shida ilikua nn?
Tangu October Lacazette hajafunga magoli hivyo anahisi anahitaji kufunga magoli zaidi.
Hivyo leo alihisi alikuwa na nafasi ya kufunga magoli zaidi na akatolewa zikiwa zimebakia dakika 12.
Ingefaa zaidi kama mñgepigwa na Brighton halafu mumkalishe LiverpoolMechi mbili zinazofuata za Arsenal zote ni ugenini
Tunaanza na boxing day tunakwenda Brighton halafu baada ya hapo tarehe 29 basi la Arsenal litaelekea Liverpool kwenye mechi ambayo twaweza kusema itaamua Arsenal kama itakaa kwenye top 4 au vingine.
Ni mechi mbili za ugenini ambazo ni muhimu sana.
Anaisi hastail kutolewa sub hasa ukiangalia yeye ni namba tisa na anaitaj kushindaNiliona lacazete akilalamika alipofika nje baada ya sub.
Shida ilikua nn?
Endelea kupiga ramli,nitarud baadae baada ya leicesterIngefaa zaidi kama mñgepigwa na Brighton halafu mumkalishe Liverpool
Apo mngetisha sana.
maliza noma yako kwanza na leicester then uje....maana wanakuja tuMumekutana na wavimba macho mumepata tabu kushinda hongereni..
sisi tunapiga wote mpaka tumalize game 22 kwanzaIngefaa zaidi kama mñgepigwa na Brighton halafu mumkalishe Liverpool
Apo mngetisha sana.
Huyo hauzwi mkuu,Usimsahau Ozil.
Si kweli, rabiot ameshakubaliana na barcelona,Habar kwa sasa
Swap ya Ozil ipo kwa PSG.
Wao wanatupa Rabiot.
Pambana na leicester hukoMumekutana na wavimba macho mumepata tabu kushinda hongereni..
Huyo hauzwi mkuu,
Ufanye nini huna lolote subiri trh ifike.hana ubavu sasa tarh 29 anakuja machinjion Anfield
Zimezuka sana, ila emery kasema hamuuzi, na ozil kasema haondoki,Sio mimi nasema mkuu
Fatilia habar za timu utajionea
Mwambie huyo zumbukukuHata ww mbona poyoyo au hujijui
Kila mchezaji ana msaada. Kila mechi kuna asst na goal score so how can you ignore the whole team and upgrade one player.Bila Aubameyang Arsenal tungekuwa chini sana huyu jamaa ametusaidia sana.
Pia Saed Kolasinac nae kurudi kwake kumesaidia sana kupika mashambulizi ule upande wa kushoto.