UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
3 points at home
Tungepata zile za liver ungesema hiviOk 3 Pts ambazo tumezipigania haswaaa.
FT
Arsenal 3-1 BUR
Kuna Watu mnajifanya mjua mpira hasa. Leo una uwezo wa kukosoa sub za Manager Unai!!!!Katika watu wanaojielewa kwenye hili jukwaa ni wewe tu
Kuna Watu mnajifanya mjua mpira hasa. Leo una uwezo wa kukosoa sub za Manager Unai!!!!
Unajiona ushachukua eplKENGE wa blue wewe tar 29 sio mbali
Huyo ni liver kukuKuna Watu mnajifanya mjua mpira hasa. Leo una uwezo wa kukosoa sub za Manager Unai!!!!
zimeishia 3 mkuuNyota njema inaonekana asubuhi
️ aubameyang
Sky Sports Statto on TwitterLaca leo kamaindi kupigwa sub, but ni hali ya ubinadamu, inabidi akubaliane na maamuzi ya kocha
laccazete aliwah kusema kuwa moja kati kitu alichoifunza kwenye hii ligi ni kuwa mabeki wanachoka sana inapofika dakika 10 za mwisho! Nadhan kwenye akili yake huwa anawavizia sana mabeki mwishoni kma alivyowafanya Liverpool ile
waafrika wanashindana️ aubameyang
2 goals from 2 attempts v Burnley
12 PL goals from 19 shots on target in 2018-19
Overtaken Mo Salah (11) as PL top scorer this seasonSky Sports Statto on Twitter
chana mkekaEither Burnley or Draw..
Come on Burnley..
️ aubameyang
2 goals from 2 attempts v Burnley
12 PL goals from 19 shots on target in 2018-19
Overtaken Mo Salah (11) as PL top scorer this seasonSky Sports Statto on Twitter
Hilo linajulikana , tarajia mpaka summer usajiri wa sura mpya,Ila sio siri Arsenal wanahitaji mabeki mshahara angalau wawili mwezi ujao.
Ila sio siri Arsenal wanahitaji mabeki mshahara angalau wawili mwezi ujao.
Hilo linajulikana , tarajia mpaka summer usajiri wa sura mpya,
Maana kuna wengi wanaondoka
Ramsey
Nacho
Welbek
Iwobi
Pia namba 2 wa kumsaidia belle mwenye umri mdogo, ataletwa, kiungo mmoja , winger ,na straiker mmoja wakuchukua nafas ya welbek
Kwa january, unai ashajipanga kuingia sokon kwa ajiri ya mabeki wawil hasa wa kati, na winger mmoja
Hivo tarajia wachezaj wasiozid watatu kwa january hii

Pia Emery anamtaka Isco lakini Real Madrid wanataka swap deal na Ozil.
Kama sio hivyo bado Inter Milan wanakuwa ndio wenye kutaka kumsaini Ozil.
Kipa Kaylor Navas wa Real Madrid pia anaweza kuja Arsenal kuchukua nafasi ya Cech.
Hivyo Arsenal mpya ya 2019/20 itakuwa na makipa Leno na Navas kama namba 2 .
David Ospina kuwa kipa wa kudumu wa Napoli.