Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Burnley ni team mbovu na dhaifu sana, Arsenal bahati yenu mshukurun Auba la sihvyo ushindi mngeusikia kwenye bomba.
 
Ozil magician
FB_IMG_1545500223003.jpeg
 
Daaa wew jamaa unampamba Ozil kinyama

Wakati leo Ozil alikua hoiiiii anaachama tuu kama mbwa.

Hakuna cha ajabu alichofanya leo kaingia na mpira kwenye box akaishia kupiga ka mpira ka kirembo ndo bahat nzur uka reflect ukamkuta iwob akafunga.

Siku ozil anavua uzi wetu wa arsenal nitakutafuta kabisa humu humu.
 
Wew hiyo kitu hakuna hata siku moja

Striker tegemezi huwa hafanyiw hvo hata siku moja,
Nambie kocha gani anaetunza wachezaj hivo???
Mala kaanzia nje, tena kaanzia nje, hadi match kubwa na man u,
Alafu hachezi full anatolew kabla dakikq 90 hazijaisha.

Yani hyo kitu hakunaga hata siku moja.
Sio kwa mfululizo huo ndio maana hata yeye kachukia.
Anaisi hastail kutolewa sub hasa ukiangalia yeye ni namba tisa na anaitaj kushinda
Game nying lacazette anaanzia sub au hamalizi akianza
Lakin ni jambo dogo coz lacazette huwa anamsaada mkubwa sana ata unai analijua hilo, na pia tuna game ngumu uko mbele ndio maana anajaribu kumlinda kutokana na majerui
 
Yani laca anamsaada mkubwa ndio, lakin hapa kocha anakosea
Kataga kabisa anachofanya sio sahihi.
Hajawatambua vizur machaguo yake matatu ya mbele.
Anaisi hastail kutolewa sub hasa ukiangalia yeye ni namba tisa na anaitaj kushinda
Game nying lacazette anaanzia sub au hamalizi akianza
Lakin ni jambo dogo coz lacazette huwa anamsaada mkubwa sana ata unai analijua hilo, na pia tuna game ngumu uko mbele ndio maana anajaribu kumlinda kutokana na majerui
 
Daaa wew jamaa unampamba Ozil kinyama

Wakati leo Ozil alikua hoiiiii anaachama tuu kama mbwa.

Hakuna cha ajabu alichofanya leo kaingia na mpira kwenye box akaishia kupiga ka mpira ka kirembo ndo bahat nzur uka reflect ukamkuta iwob akafunga.

Siku ozil anavua uzi wetu wa arsenal nitakutafuta kabisa humu humu.
Ila lazima ukubali ozil ana kipaji tatizo lake ni consistency.
 
Back
Top Bottom