Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hata ww mbona poyoyo au hujijuiKwa sababu mmekutana na mapoyoyo
Hata ww mbona poyoyo au hujijuiKwa sababu mmekutana na mapoyoyo
Achana nae, mwanamke akiwa anaongea sana dawa yake ndogo tu... Bao!!!Hata ww mbona poyoyo au hujijui
KENGE wa blue wewe tar 29 sio mbaliHata ww mbona poyoyo au hujijui
Mkosi tuIwobi wa nini tena kaka yangu Unai khaaaaa...!
Katika watu wanaojielewa kwenye hili jukwaa ni wewe tuIwobi wa nini tena kaka yangu Unai khaaaaa...!
️Sio kweli hii ni unai era sio Wenger eraGuendouzi ni tatizo kubwa sana arsenal pale kati, dogo ni mzuri ila anapewa majukumu mazito sana kwenye ligi ngumu sana, huyu mtu bado hajapevuka kabisa na ligi kufikia kumpa majukumu mazito na ninashangaa sana baadhi ya watu wanaanza kutuaminisha arsenal haimuhitaji Ozil, Arsenal bado hawajapata mtu sahihi wa kuvaa viatu vya Ozil... tangu tuanze ligi backline yetu haikuwa nzuri na si tatizo la saivi ambalo linaonekana kisingizio kwa sasa hata kama beki zetu ni majeruhi... tatizo ni katikati tupo slow sana inafika muda wakina Aubameyang wanatangatanga mbele tu.
Naona kakuprove wrongArsenal 3-1 BUR
Iwobi....️
Dakika 90+