Wewe jamaa unaongea nnDaaa wew jamaa unampamba Ozil kinyama
Wakati leo Ozil alikua hoiiiii anaachama tuu kama mbwa.
Hakuna cha ajabu alichofanya leo kaingia na mpira kwenye box akaishia kupiga ka mpira ka kirembo ndo bahat nzur uka reflect ukamkuta iwob akafunga.
Siku ozil anavua uzi wetu wa arsenal nitakutafuta kabisa humu humu.
Wewe una akili sana kuliko UNAI? hivi mnapataga wapi legitimacy ya kumkosoa kocha ?Yani laca anamsaada mkubwa ndio, lakin hapa kocha anakosea
Kataga kabisa anachofanya sio sahihi.
Hajawatambua vizur machaguo yake matatu ya mbele.
Hakuna fundi kama ozil hapo arsenalDaaa wew jamaa unampamba Ozil kinyama
Wakati leo Ozil alikua hoiiiii anaachama tuu kama mbwa.
Hakuna cha ajabu alichofanya leo kaingia na mpira kwenye box akaishia kupiga ka mpira ka kirembo ndo bahat nzur uka reflect ukamkuta iwob akafunga.
Siku ozil anavua uzi wetu wa arsenal nitakutafuta kabisa humu humu.
Unai sio Wenger mzee unai kuhusu striking force sina shida nae defense ndio shida yani naamini kwamba ni aina ya mwalimu anaetambua anataka nini na anapanga kufanya Nini so muda tuKweli hapo Emery anakosea sana
Kwa wachua vikombe wote siku zote straiker lazima kuheshimiwa.
Hujaelewa ozil alitengeneza nafasi ngapi giroud alizingua au lacca alizingua, lakini kwa auba no habari nyingineKila mchezaji ana msaada. Kila mechi kuna asst na goal score so how can you ignore the whole team and upgrade one player.
tar 29 inakaribia tafuta chaka mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHili genge la TORORI msimu wenu wa kujinyonga umefika
Mlishindwa kutufunga Emirates uje utunge Anfield na Beki zako zile kama chujio la nazitar 29 inakaribia tafuta chaka mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

yah yah yahReported Arsenal centre back target, Fernando Calero is in London right now.View attachment 976226
kuendelea kuwepo nje kwa beki zetu Holding,Mustafi,Hector,Dino na Nacho inamaanisha tutaendelea kupata huduma ya Kolasinac,Papaa,Maitland na Xhakaboom katika backline furaha yangu ni kuwa bado tuna machaguo ya kutosha katika eneo la katikati ambapo Gue,Torreira,Ramsey,Mesut,Iwobi lakini pia eneo la mashambulizi PEA na LACCA wote wako fit kupeleka kilio kwa brighton.....cha msingi ni point 3 zipatikane ukizingatia Chelsea wameshapoteza game na wanaweza wakateleza tena ktk safari yao ya Watford.....COYGBRIGHTON & HOVE ALBION V ARSENAL
Team news: Mkhitaryan, Monreal, Mustafi,Bellerin
![]()
Here’s the latest update from our medical team ahead of Wednesday’s Premier League clash with Brighton & Hove Albion:
Henrikh Mkhitaryan
Right foot. Fractured metatarsal. Expected to return to full training in six weeks.
Nacho Monreal
Tight right hamstring. Being assessed ahead of Brighton & Hove Albion (a) on Wednesday, December 26.
Shkodran Mustafi
Right hamstring. Expected to return to full training this week.
Hector Bellerin
Left calf. Expected to return to full training in two weeks.
Emile Smith Rowe
Right hip. Expected to return to full training in December.
Dinos Mavropanos
Groin injury. Expected to return to full training in December.
Rob Holding
Left knee. Recovering after surgery.
Danny Welbeck
Right ankle. Recovering after surgery.
Team news: Mkhitaryan, Monreal, Mustafi, Bellerin