Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie wapiga ramli Asenyege, mtaa wenu ni wa 5 hata baada ya game yenu leo, yan mshinde, mdraw au mtiwe mtabaki hapohapo mtaa wa 5. Kwass top 4 ndio kombe lenu
 
Bunley Bunley
Ningependa mshinde ila kwa sababu mnakidomo domo mdraw,mshinde,mpigwe yote sawa

Ila mkipigwa itapendeza zaid
 
Una troph gan ww, hivo vibuyu 18 ,hata kuzaliwa ulikuwa bado

Timu toka 2011 mpaka leo ni UKAME
Vikombe vyenyewe vingi walishinda wakati ligi inaitwa league 1 sijui, hiyo maana yake timu ya MAKUMBUSHO. Toka hapo ni ukame, epl wanaisikia tu kwa Manu na ARSENAL FC.
 
Kama kawa chama langu The clarets Tunafanya yetu leo na kuendeleza Series yetu ya Beaten Mana mshatoboka

Naomba mjiandae kisaikolojia game ngumu hii na huddersfield mlipata tabu ila na hawa Burnley mtapata tabu sanaa

Striker Vokes anaeka lake na Ashley Barnes lake 2 bila manyumbu mnatulia tuliiii
 
Yani Wolves tuliowanyoosha jana usiku kwako ww unawaona wanaume?

Basi kwa hali hii hata hiyo top4 mtaisikia kwenye bomba, bad eneough huko Europa tumeamua kuwazawadia Napoli mpambane nae😂😂😂

wewe

tulia umalize noma yako kwanza na wanaume kutoka wolves
 
Let's goo our Boys Burnley... I trust you guys, Come One Burnley.

Burnley Forever😂😂😂.
 
Yani Wolves tuliowanyoosha jana usiku kwako ww unawaona wanaume?

Basi kwa hali hii hata hiyo top4 mtaisikia kwenye bomba, bad eneough huko Europa tumeamua kuwazawadia Napoli mpambane nae😂😂😂
hizi kelele zako zitakuwa na maana sana itakapofika may ila kwasasa unajifurahisha tu alafu mwisho wa siku aibu trophiless
 
Hivi hili jukwaa la The Gunners au Liverfools. We kiazi mbona unajua ka demu muuza papa. Si ukajadili kablu yako kwenye jukwaa lenu.
😀😀😀kumbe imekuuma sana mkuu, pengine hujui washabiki wenzio wanachofanya kwnye majukwaa mengine. Fresh lakini mchezo hauhuitaji hasira huu
 
Tangu uchukue Epl 2003 mpaka leo hujui harufu yake.

UEFA ndo kabisa mpaka kihama labda
Leo Burnley anaenda kukukaanga mzima mzima.

Una troph gan ww, hivo vibuyu 18 ,hata kuzaliwa ulikuwa bado

Timu toka 2011 mpaka leo ni UKAME
 
Kama kawa chama langu The clarets Tunafanya yetu leo na kuendeleza Series yetu ya Beaten Mana mshatoboka

Naomba mjiandae kisaikolojia game ngumu hii na huddersfield mlipata tabu ila na hawa Burnley mtapata tabu sanaa

Striker Vokes anaeka lake na Ashley Barnes lake 2 bila manyumbu mnatulia tuliiii
hahahahahaha nyumbu mna shida sana
 
hizi kelele zako zitakuwa na maana sana itakapofika may ila kwasasa unajifurahisha tu alafu mwisho wa siku aibu trophiless
Nilifikiri utakuja na ngonjera ya tarehe 29 kumbe umeona ubadili tena ngonjera sasa umeleta ya May
 
Wakuu mimi naona Mesut Ozil ndio tatizo. Hatufai arsenal
Siku ile anaingia tupo 2-2 na southampton tukaishia kuongezwa cha 3.

Alafu hata kipindi kile washabiki wengi wa arsenal wanamponda yeye anasubilia kupewa tu mpira hawezi kufight wakati hatuna mpira mm naona ni ngumu yeye kujibadilisha.

Asipocheza leo natabir mazur kabisa kwa arsenal yetu.
 
Back
Top Bottom