DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
una
maana gani mkuu yaani mtu leo anakula mkono ama nimefikiria vibaya
maana gani mkuu yaani mtu leo anakula mkono ama nimefikiria vibaya
Hahahahahayah ni almost kwani milner alikuwa anavaa pempers muda huo waliobaki walikuwa katika zipu
Nyota njema inaonekana asubuhiuna
maana gani mkuu yaani mtu leo anakula mkono ama nimefikiria vibaya
Nimefikiria Kama hivyo buh ngoja tuoneDuh hii backline yetu iko vulnerable vibaya mno,kupata matokeo chanya inabidi tuwe na magoli mengi.
Hahaha Arsenal bado hamjafikia hatua ya kuwa dharau kiasi hichi.Carabao cup. Hii ni ndondo!
Apo Anfield ni kama geto kwetu tu ..nikiingia nachukua point alafu napita zang iv..hana ubavu sasa tarh 29 anakuja machinjion Anfield
Pole sana mpaka sasa Auba 1 Burnley 0Either Burnley or Draw..
Come on Burnley..
Utajipiga ban soon,Either Burnley or Draw..
Come on Burnley..

Wapigie Skype call hotline zao ziko waziBurnley acheni kukaa nyuma hii timu haina Defence ya kuzuia goli
Kwa sababu mmekutana na mapoyoyoFor the first time this season, we're leading a @premierleague match at half-time
More of the same required after the break
#ARSBUR Arsenal FC on Twitter
️