BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,902
- 11,707
Porojo nyingi mkuuwewe jitoe fahamu lakini uzuri wake mimi najua kuwa una akili timamu kabisa ila ukweli ni kwamba timu yako mara ya mwisho kuchukua ligi ni ile karne ambayo vita ya kwanza ya dunia ilipiganwa sasa sijui wewe ulikuwepo ama nini.......................na suala la EPL wewe hujawahi beba na ushahidi upo
Msimu wenu wa kujiua umefika
Wengi wenu washakufa nyinyi mmebaki mnashangilia hamshabikii