Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

DUH YAAANI NIPO APA MTAAA WA LIVERPOOL, WANAPIGA KELELE KINOMA. YAANI HAWATUPENDI ARSENAL, NIKO CLUB GLAN YA WAAFRICA, ARSENAL TUKO KAMA 20 IVI, YAANI HAWA MAPIMBI JINSI WANAVYOFIRAHI DUH, INAUMA SANA
 
Mzee wa kuchana mikeka

IMG_0508.jpg
 
Siwapendi arsenal mpaka basi juzi tu wameninyima million 1 na ushee.. Wamebaki wao tu nicash out. Wakajambishwa. Na leo wamechania mkeka.
Nawalaani sana msifike kokote mpigwe hata na njombe mji. Mxiuuuuu.
 
OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL NO ARSENAL
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Injinia soma hiyo ngapi iyo

Mida yenu ya kukonda ndio hii Tunawasubiri Anfield teh teh teh
 
Tutatoka tu game ni ngumu majeruhi wengi hivyo wachezaji wanapangwa tu ili mradi kila sehemu iwe na mchezaji. Sasa kwa style hiyo ni ngumu kushinda pale nyuma ni sehemu ya tatizo mfano viungo kwa sasa ndo mabeki kama xchaka anapiga beki ya kushoto.
Tuombe majeruhi wapone.
We are the GUNNERS forever.
 
Kwa akili yako ya 'ki-Wenger' ulijua utamtoa Spurs. Wonders shall never end.
 
Back
Top Bottom