Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Niles na nacho watakuwa wanapandisha mashambulizi na kurudi kukaba as a backArsenal inaanza game na back four lakini mtindo ni 3-4-2-1
Huku ramsey akisaidia kupandisha timu na kumsaidia toreira

