AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 753
Naona wamekuwowa tena mara ya 2 😀😀😀😀jianda nakuja kukuwowa tar 29..na show inapigwa hapohapo ukweni lazima nikubikiri
Naona wamekuwowa tena mara ya 2 😀😀😀😀jianda nakuja kukuwowa tar 29..na show inapigwa hapohapo ukweni lazima nikubikiri
To be honest no sensible manager would play Iwobi and leave Ozil out, only the moaning Spaniard
Marehemu alishindwa kuzuia mdomo wake.










Hivi Arsenal walimfanya nini Yesu mbona ikifika Christmas wanaanza kufungwa
![]()
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAMkuu ninahamu sana na nyinyi njooni tu tumalize tofauti zetu mimi na ww pale Anfield niwachinje mfee mpotee hata kwenye Big4 muwaze EUROPA kama kawaida yenu
acheni kujisahaulisha mkae mkijua kuwa na nyinyi pia hamumo mlishapigwa mbili na chelsea so sijaona maana ya sherehe yenu hapaHivi Arsenal walimfanya nini Yesu mbona ikifika Christmas wanaanza kufungwa
![]()
Vipi ramli zako bado unaendelea nazo naona vipigo vipo kwako badala ya kwetu ulikokua ukikesha ukipachuriaacheni kujisahaulisha mkae mkijua kuwa na nyinyi pia hamumo mlishapigwa mbili na chelsea so sijaona maana ya sherehe yenu hapa