Vipi jamaa kamalizanaje na manyua?Kaa kimya wewe, timu lako mwaka wa ngap huu linatoka kapa,
Malizana na manyua kwanza, had may utangaze ubingwa ndio tutawaelewa au mbebe hata FA cup tu, lasivyo NOTHING
sisi sio plastic fan tupo na tutaendelea kuwepo hilo ndio sokaHumu ndan wenyeji hawapo wakuu wameacha mlango waz kaz yao ilikuwa kupita majukwaa ya watu hawakujua kama wanajipiga ban wenyewe ha ha ha ha ha wamekalia tu oooh ss unbeaten Austin wa soton kawaprove wrong
Kazi kwenye majukwaa ya wengine kutwaHumu ndan wenyeji hawapo wakuu wameacha mlango waz kaz yao ilikuwa kupita majukwaa ya watu hawakujua kama wanajipiga ban wenyewe ha ha ha ha ha wamekalia tu oooh ss unbeaten Austin wa soton kawaprove wrong
sijui wewe hapa unafanya nini sasa kama wewe huendagi katika majukwaa ya wengine......ushabiki wa mpira haupo hivyo na ndio maana mtu anaacha kucheki game home anaenda kibanda umiza ili kupata burudani za kishabiki.......Kazi kwenye majukwaa ya wengine kutwa
Poleni majirani....imekuaje Tena. Ama Torrera hakuwepo uwanjani??leo inatakiwa tupate point 3 muhimu ili wale majogoo feki wakipunguzwa kasi na manure sisi tuzidi kupunguza gape la point,maana spurs sina shaka nao kabisaaaaaaaa
burnley wamefanya mambo ya ajabu sana jana ila still mapambano yanaendelea na naiamini timu kwa sasa hasa kurejea kwa le capitain pale nyuma
Unapoingia uwanjani...unaenda kwa lengo la kupata pointi tatu. Kupata pointi moja ama 0 Ni ujue pande moja imezidiwa uwezo ama maarifa.The unbeaten run will end today. Southampton wanakumbukaga kucheza mpira vs Arsenal tu. Zikija timu nyingine wanakuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi.
Hakuna timu ambayo haijakuswa ubikra wake.Huyo ambaye hajaguswa, bikra yake mwaka huu kabla haujaisha itatolewa!
Hakuna timu ambayo haijakuswa ubikra wake.
Man city alitolewa ubikra na Chelsea
Liverpool alifungwa na Chelsea kwake
Kwenye ligi liverpool hajabikiriwa.Hakuna timu ambayo haijakuswa ubikra wake.
Man city alitolewa ubikra na Chelsea
Liverpool alifungwa na Chelsea kwake
Kwenye ligi liverpool hajabikiriwa.
Kwahiyo unaamini livapuu hawatafungwa? Mwezi wa 5 sio mbaliUnadhani hajui?
Ni kujipa faraja tu, hicho ni kipigo cha tatu kakutana nacho, eti alikuwa anjiita unbeaten.