Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuombe
Asante Mungu kwa kunyamazisha hili genge la vipofu.
Amina
 
Ukweli tunastahili kuwapongeza wachezaji wetu lakin pia tumesare hii game kizembe maana magoli yote tuliyofunga yalikuwa yanazuilika vyema.
Pia sub ya holding ya mapema tuliyolazimika kuifanya imeleta athari kwetu maana hata magoli yamepitia hapo.
We ARE the GUNNERS forever.
 
FT
Man U 2-2 Arsenal
Kama juzi na jana hawa Manure tumeshindwa kuwapiga pamoja na ubora wetu kwa sasa.
Leo naona tumecheza with hand break...Sijafurahia draw kabisa..Man hawajatengeneza nafasi yeyote ya kupata goli second half..

Monreal anarudi lini still is far better than Kolasinac..
 
Leo naona tumecheza with hand break...Sijafurahia draw kabisa..Man hawajatengeneza nafasi yeyote ya kupata goli second half..

Monreal anarudi lini still is far better than Kolasinac..
Pia timu nyuma mawasiliano ni dhaifu sana
 
Naomba niirudie hii Man U,Liva na B.Munich ni timu ambazo natamani sana tuzibutue kila tukikutana nazo na hii inatokana na jinsi wanavyo tu-outclass tukikutana nao hata kama tukiwa na timu bora vipi tunakua dhaifu kwao.
Record yetu na Man U ni mbaya zaidi wameshinda mara 24,draws 15 na sisi tumeshinda mara 13 tu kwenye ligi(head to head) wakiwa na idadi kubwa ya magoli ya kufunga kuliko sisi na mara nyingi wametupiga tukiwa kwenye ubora wetu na mara ya mwisho kupata matokeo pale OT ni 2006(EPL) natamani leo tuachane na huu mzimu,binafsi nitaangalia hii game nikiwa sina amani kabisa.
A true gunner
 
Leo naona tumecheza with hand break...Sijafurahia draw kabisa..Man hawajatengeneza nafasi yeyote ya kupata goli second half..

Monreal anarudi lini still is far better than Kolasinac..
Ukweli mpira umeharibikia upande ule ule na man walikuwa wanapigwa nyingi na wasichomoe hata moja as kiungo tuliwadaka sawasawa.
 
Unai Emery amempigia simu mwenyekiti wa bodi ya EPL ili kuwapa Manchester United points 3.
 
Kweli nimeamin mpira sio umri, uyu gundouzi inabidi akamuombe msamaha anko fellain sio kwa kumchezea kule kama Tanzania tulivyochezewa (anko magu voice)
 
Ukweli mpira umeharibikia upande ule ule na man walikuwa wanapigwa nyingi na wasichomoe hata moja as kiungo tuliwadaka sawasawa.

Sijaelewa goli la pili tulilofungwa Kolasinac Alikua anajaribu kufanya nini...Easy way always kwa beki ni ku-clear mpira yeye anaslide kurudisha mpira...Kosa la kijinga sana.

I think kama tunatumia Wing backs kushambulia Emery hana budi kuwafundisha Bellerin/Kolasinac how to cross or to cut back mpira kwa Fowards...Bellerin anakua kwenye nafasi nzuri Mara nyingi Ila cross zake mbovu sana ama atamlenga kipa..He needs to improve.

Sijaridhika na point moja kabisa.Hususani Chelsea amepoteza na probably next game anapoteza kwa City.
 
Fact
 
Wakuu record bado inawatesa ila mmejitahidi. Point yangu ni juu ya huyu jamaa mlienae anaitwa Guendouz, jamaa anajua sana mumtunze atawasaidia.

Kila sehemu uwanjani yupo yani akiutoa anauomba tena alafu anautoa tena alafu anauomba tena, mara kautupa kule, Mara katurn huku, mara kazuia goli, mara kapiga assist. Basi burudani tupu
 
Arsenal manager Unai Emery: "I think we controlled the game, the second half better than the first. We could have won this match in certain moments, but they equalised very quickly after both our goals.

"We need to improve defensively, but we need to have balance and not lose our attacking chances.

"We perhaps lost a bit of control there but we created lots of chances after 2-2 and I am very proud of our performance. We wanted to win but we can feel this point is good.

"Sead Kolasinac came off with his head down but I said to him he had a very good match in attack and you have to be positive and learn from this match."

Emery anamtetea vp Kolasinac?
Be clearly Mr Emery, Kolasinac was awful today especially in defending...He's solely responsible for the draw. He was exposed and caught out of position several times...His mistake cost us dearly.
 
FT: Man U 2- Arsenal 2
Hatukua sharp kama tulivyokua kwenye game ya Spurs, magoli yote ya United waliyofunga yalikua ni uzembe tu, mabeki wali switch off. Inaonekana game ya Spurs ilitumaliza sana na hatujapumzika vya kutosha, majeruhi ya Ramsey pia yalidhoofisha timu pale kati ila in general tulicheza vizuri kuliko United hasa kipindi cha pili. All in all, a point at Old Trafford is always a good point. Mechi 20 sasa unbeaten..
Game 4 zinazofuata kwenye ligi ni dhidi ya timu zilizopo mkiani na tukiendelea kucheza hivi, tutashinda zote inshallah..
#COYG!!!
 
Back
Top Bottom