Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pamoja na kwamba alikuwa forced kufanya subs kabla ya wakati na ambazo tunaweza kusema hazikuwa tactical subs, zilikuwa subs Kwa vile watu waliumia. Lakini bado kocha alikuwa na composure ya kufanya mabadiliko chanya, tukapata matokeo. Hakika mzee Wenger kwa yale majeruhi tungelala jana.
 
My call to him ni kwamba ajitahid kutoruhusu gori sana
 
Emery on Kolasinac’s mistake for #mufc’s second goal: “He came in at the end with his head looking down & I said to him, ‘Sead, you had a very good match & offensively, you give us a lot, this action in defence can happen, you need to continue & above all, be positive & learn’.”
 
Emery on United's first goal - Was it offside?

I know VAR is coming, when it’s coming it can equalise something like these difficult decisions.
I know maybe he was offside, but it was very difficult.
I think the referees decision is not important today for the result.
IMG-20181206-WA0012.jpeg
 
Kitu ambacho ulikuwa haikujui kuhusiana na Matheo Guendouzi dhidi ya Manchester united jana ni kwamba, Uwanja mzima wa old Trafford ulikuwa anamzomea ili kumtoa mchezoni. Moja kati mashabiki ambao wanaamini kuwa Arsenal wana kipaji kizur kupitia Guendouzi ni Manchester united kwa hyo walijua akiwa kawaida atawapatia shida kwenye kuendesha mchezo kwenye eneo la kiungo. Amezomewa sana kiasi kpnd cha kwanza alishindwa kucheza vzr ila baada ya kurejea kpnd cha pili akili yale ilianza kuimarika. Kwa pamoja na yote matheo amecheza kwenye mazingira magumu sana jana akiwa Trafford na ndio maana umeona fellain kaja kufanya tukio ambalo c la kiungwana,ile ilikuwa ndio Tempo mzima Manchester kma walimtageti dogo ili watumie mapungufu yake ya kitokkomaa lkn hata hvyo hawakuwanikiwa sababu cyo kinda la wenger kma walivyozoea!

HII NI UNAI EMERY ERAView attachment 957950
Daah mwambieni Ngogo arudi Arsenal. Nyumbani kumenoga. Naona aliaga kitambo na Thread yake ya Nimeacha kuishabikia Arsenal....
 
Emery: ‘Guendouzi should get his hair cut!’
Guendouzi%20and%20Fellaini.jpg

Matteo Guendouzi took some stopping at Old Trafford on Wednesday night, so Marouane Fellaini went to extremes to check his progress - he pulled his hair.

The Manchester United midfielder escaped without a yellow card and we were left with a free-kick that came to nothing as time ticked away.
Guendouzi’s unmistakeable hairstyle makes him one of the few players who can be hauled back in such a manner, but Unai Emery has a simple solution for him.
“I think the best thing for the next match is for Matteo to cut his hair, and this problem is finished!” he joked at Thursday’s press conference. “Like Fellaini did!” added Unai, referring to the Belgian’s recent trim.
“When I was a player it was the same,” Unai went on. “Today, with the cameras, all the situations happening in the 90 minutes can be seen. Some questions are, for me, between the players on the pitch. If it’s not a good action they can receive a card. On the pitch, the situation happened and it’s between the players.”
So has Unai told Matteo about his idea? “No, I respect the players’ hair a lot!” he replied.
 
Kitu ambacho ulikuwa haikujui kuhusiana na Matheo Guendouzi dhidi ya Manchester united jana ni kwamba, Uwanja mzima wa old Trafford ulikuwa anamzomea ili kumtoa mchezoni. Moja kati mashabiki ambao wanaamini kuwa Arsenal wana kipaji kizur kupitia Guendouzi ni Manchester united kwa hyo walijua akiwa kawaida atawapatia shida kwenye kuendesha mchezo kwenye eneo la kiungo. Amezomewa sana kiasi kpnd cha kwanza alishindwa kucheza vzr ila baada ya kurejea kpnd cha pili akili yale ilianza kuimarika. Kwa pamoja na yote matheo amecheza kwenye mazingira magumu sana jana akiwa Trafford na ndio maana umeona fellain kaja kufanya tukio ambalo c la kiungwana,ile ilikuwa ndio Tempo mzima Manchester kma walimtageti dogo ili watumie mapungufu yake ya kitokkomaa lkn hata hvyo hawakuwanikiwa sababu cyo kinda la wenger kma walivyozoea!

HII NI UNAI EMERY ERAView attachment 957950
Hiyo ni sababu kweli iliyofanya fans wa man utd kumzomea dogo muda wote?
 
Arsenal Head of Recruitment Sven Mislintat confirms that he was part of the team that selected Unai Emery as manager. Says he not only chooses targets, but is crucial to the negotiations that bring them in. He also talks up Ousmane Dembele and Julian Weigl and says he looks for something special, like Auba's pace, or the "Iniesta brain", in players he signs.
 
Mislintat on Guendouzi: "I saw him at FC Lorient, when the club still was in the first division. I like the club, they always produce interesting players. Guendouzi stood out with his long hair & his personality" #Arsenal

Mislintat on Guendouzi: "I also concentrated on his weaknesses. Are they trainable? Matteo ran unnecessarily across the whole pitch, but I was sure that it would only be a matter of training & time, before he learned when to run" #Arsenal

Mislintat on Guendouzi: "It was an important transfer for us, because we wanted to show the world we’re still the old #Arsenal, which gives opportunities to younger players"
IMG-20181207-WA0005.jpeg
 
View attachment 958638
Safi sana! Ujue iwe ni kwenye biashara, michezo, siasa n.k kunapaswa kuwepo na mtu au watu wenye jicho la tatu kuweza kuona mambo siyoonekana kwa haraka. Kwa upande wa timu ikikosa mtu wa aina hiyo ndio hapo mnajikuta mnasajili garasa kwa mamilioni ya pesa na kumuacha mtu sahihi kwa kuwa tu huyo garasa wa mamilioni amepambwa na media. Timu ikiwa na mtu mwenye jicho la ziada hakika mafanikio huja tu kwakuwa ataleta vipaji ambavyo vikikutana na kocha mzuri ni suala la muda tu kila mmoja atabaki kujiuliza nini kinaendelea. Kwa huyu fundi mtafuta vipaji, naweza sema Arsenal tumepata mtu sahihi kwa wakati sahihi kwani hata kocha wetu nae konkiiii
 
Nafanya kazi katika ofisi ambayo kuanzia ceos,board of directors,md,deputy officers karibu wote yani can say 95%,ya ofisi ni washabiki wa manyumbu sasa nawatuliza nitakavyo

Tuna game ya ofisi kati wanao hangaika field na ma ofisa wanao kua busy ofisini

Wakasemaje kua Arsenal akipata hata draw nini kushinda yani game ijayo tunacheza mechi yetu tukiwa tumevaa jersey za Arsenal og... Huyo alikua CEO mi nikasema tafadhali uishi maneno yako, akajibu i always do. Nikasema Sawa baada ya mechi kuisha nikasema thank to refa mzee but kiapo kipo pale pale. Unajua katoa mzigo wa watu kumi na saba af wote wanashabikia man u kuzivaa kesho kwenye mechi ya kiofisi af mzigo toka mfukoni kwake...

Sasa mechi kesho leo nasubiri mgao wangu wa jersey. Worse case ni kwamba lazima wavae uzi wetu na ni wanazi haswa wa manyumbu fc
 
Na wakishinda goal wawe wanaibusu logo ya arsenal naomba huo mswada ukaupitishe
 
Back
Top Bottom