Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafs Mm naona refa amebugi kias flan hivi maana tuanze na goli la Man United lile la kusawazisha Kiukwel Herrera alikuwa offside kabla hata kipa wa wa arsenal ajaucheza ule mpira tayal alikuwa Kazid Herrera.

Aubamyang Kipind cha Kwanza alikuwa hajachangamka Kama vile tunavo mfaham pia. Guendouzi bado Ana kauzito flan hivi maana kunamuda alikuwa achelewa kuachia mpira mapema japo amejitahid sana kupambamba lkn Ukwel kumkosa xhaka Leo imepunguza kitu flan hivi kwenye timu yetu arsenal.

3 mara tu kuumia kwa holding kule nyuma kuliyumba kias flan hivi soklats na mustaf kuna muda Walikuwa km wanategeana hvi hivi na kuwa na uzto wa kufanya maamuz ya haraka kwa wakat sahii. Comb ya toreira na xhaka imeonekana pia comb ya holding na mustaf inajulikana hivo Ndyo vitu kwa upande wangu kidogo Ndyo Nimeviona Leo sub zalalzma kufanya pia imechangia.

4 mara tu kuingia kwa Mkhitaryan na lacazzette pale mbele paliongeza kitu hasa prsh kwa mabek wa Man United. All in all timu imejitahid Tumetoka na point moja syombaya maana hata wao nyumbu fc Walikuwa wakiztaka hizo point. Aubamyang kachangamka mala baada ya kuingia lacazzette .refa ametuumiza Kisai flan ?

TUNA MECH KAMA 4 HIVI ZA HAWA WALIOPO CHINI, HOPE 12 POINTS LAZIMA

SOON TUTAKUWA NAFAS YA 3 KUELEKEA YA PILI

LEO MAN U WANAFURAHIA SARE

?unai emry
IMG-20181206-WA0010.jpeg
 
Arsenal manager Unai Emery: "I think we controlled the game, the second half better than the first. We could have won this match in certain moments, but they equalised very quickly after both our goals.

"We need to improve defensively, but we need to have balance and not lose our attacking chances.

"We perhaps lost a bit of control there but we created lots of chances after 2-2 and I am very proud of our performance. We wanted to win but we can feel this point is good.

"Sead Kolasinac came off with his head down but I said to him he had a very good match in attack and you have to be positive and learn from this match."

Emery anamtetea vp Kolasinac?
Be clearly Mr Emery, Kolasinac was awful today especially in defending...He's solely responsible for the draw. He was exposed and caught out of position several times...His mistake cost us dearly.
We hufai kuwa kocha... Haya mambo ya kuwasema vibaya wachezaji kama Morinho ndo yanaletaga migogoro na kuwafanya wachezaji wasijiamini... Kwenye media huwezi kumsema vibaya mchezaji... Ila kwenye training pitch kule watamalizana
 
Yaani hawa jamaa wakishinda wakidraw ama wakipigwa wanabaki kwenye nafasi yao ile ile, ninaamini nafasi yetu ya tatu inatusubiri, Chelsea na Tottenham watapoteana tu
 
Kupata kichekesho kingine kama hichi tuma neno ARSENAL kwenda 1515
 
Morning gunners
Mm kwa timu yetu ilivyo nlihesabia out of 9 points tungechukua 4(Tushinde 1 tupigwe1 na tudroo 1)lkn nashukuru sana tumepata 7 points still unbeaten!
Tuendelee kukaza na Jana ukitaka kujua man u ni wabovu combination ya toreira na Guandouz haijawah kuwa nzuri lkn Jana wao ndio walishain sana.All in all mechi na man u haijawah kuwa rahis kwa timu yeyote na tukumbuke man u wana wachezaj wazuri kuliko timu nyingi EPL sema wanakosa morali tu!Tusiseme ni wabov ila wanacheza kawaida na wakikamia wanapata kitu.
Bado nisemee japo Mateo alicheza sana lkn ni moja ya eneo kocha anatakiw kulifanyia kazi atafute m badala wa Xhaka kwn hapa ndio msingi wa arsenal.Mateo mzuri lkn too slow.Toreira anatakiw apatiwe kiungo kama Carzola yaan mwepesi wakiamua kwenda wanaenda na wakiamua kukaba wanakaba.
Nahitaji spirit ya Mustafi kwa partner wa toreira.Dogo Jana kaupiga mwingi ila jee zilikuw na madhara???Matic ni kiungo mwny nguvu sana Jana alihitaj kiungo mjanja au mwny nguv mwenzie hakika hapa tungewapiga vzr tu.Mateo alikuw anamkokota mwishow wanamwangusha au anapigwa tackling za nguvu na refa anapeta.
 
man u wana wachezaji wazuri ila hawana teamwork
 
Sijaelewa goli la pili tulilofungwa Kolasinac Alikua anajaribu kufanya nini...Easy way always kwa beki ni ku-clear mpira yeye anaslide kurudisha mpira...Kosa la kijinga sana.

I think kama tunatumia Wing backs kushambulia Emery hana budi kuwafundisha Bellerin/Kolasinac how to cross or to cut back mpira kwa Fowards...Bellerin anakua kwenye nafasi nzuri Mara nyingi Ila cross zake mbovu sana ama atamlenga kipa..He needs to improve.

Sijaridhika na point moja kabisa.Hususani Chelsea amepoteza na probably next game anapoteza kwa City.
Kabisa, 3 points zilikuwa zetu, ila ndipo tulipofikia, kweli Emery anafanya kazi yake...
 
Morning gunners
Mm kwa timu yetu ilivyo nlihesabia out of 9 points tungechukua 4(Tushinde 1 tupigwe1 na tudroo 1)lkn nashukuru sana tumepata 7 points still unbeaten!
Tuendelee kukaza na Jana ukitaka kujua man u ni wabovu combination ya toreira na Guandouz haijawah kuwa nzuri lkn Jana wao ndio walishain sana.All in all mechi na man u haijawah kuwa rahis kwa timu yeyote na tukumbuke man u wana wachezaj wazuri kuliko timu nyingi EPL sema wanakosa morali tu!Tusiseme ni wabov ila wanacheza kawaida na wakikamia wanapata kitu.
Bado nisemee japo Mateo alicheza sana lkn ni moja ya eneo kocha anatakiw kulifanyia kazi atafute m badala wa Xhaka kwn hapa ndio msingi wa arsenal.Mateo mzuri lkn too slow.Toreira anatakiw apatiwe kiungo kama Carzola yaan mwepesi wakiamua kwenda wanaenda na wakiamua kukaba wanakaba.
Nahitaji spirit ya Mustafi kwa partner wa toreira.Dogo Jana kaupiga mwingi ila jee zilikuw na madhara???Matic ni kiungo mwny nguvu sana Jana alihitaj kiungo mjanja au mwny nguv mwenzie hakika hapa tungewapiga vzr tu.Mateo alikuw anamkokota mwishow wanamwangusha au anapigwa tackling za nguvu na refa anapeta.
Still unbeaten in what?
 
Only 2 unbeaten in EPL so far
 
Tunakumbushana tu gap limeongezeka
Points 10 nyuma ya city na points 8 nyuma ya lfc,
 
Arsenal manager Unai Emery: "I think we controlled the game, the second half better than the first. We could have won this match in certain moments, but they equalised very quickly after both our goals.

"We need to improve defensively, but we need to have balance and not lose our attacking chances.

"We perhaps lost a bit of control there but we created lots of chances after 2-2 and I am very proud of our performance. We wanted to win but we can feel this point is good.

"Sead Kolasinac came off with his head down but I said to him he had a very good match in attack and you have to be positive and learn from this match."

Emery anamtetea vp Kolasinac?
Be clearly Mr Emery, Kolasinac was awful today especially in defending...He's solely responsible for the draw. He was exposed and caught out of position several times...His mistake cost us dearly.
Anajenga timu lazima umfanye mchezaji afanye vitu sahihi kolosinac alipo anajuta so profesional footballer yeyote lazima ajute sababu inaumiza.

Lakini nikwambie tu kwa sasa Arsenal inaweza kua timu bora kuliko unavyofikir
 
Kilichotokea sijilaumu sababu hakuna ambae hajaona Holding Ramsey pia tungekua na mzee wenger tungekua tumekufa mapema tuu with all due respect thanks to Unai Emery.

Its not easy kama ingekua easy wangetufunga 5, kama ingekua easy wasingeshangilia ile draw

Guys tambueni kwasasa sisi ni hot cake sio kituko tena

Nina imani na timu kuliko wakati wowote ulee
 
Kabisa maana walikuja kuvunja sio kucheza mpira. Lakini Nashukuru sana hakuwepo Xhaka maana angepiga mtu mgumi. Mimi uwa sidharau hata game ndoogoo mno. Man U hawako vizuri lakini mechi yao na Arsenal hasa wakiwa kwao uwa wanajiamini sana uwanjani ila jana kujiamini kuliwaisha wakaanza kufanya rafu za ajabu, psychologically game iliwashinda. Sema tulistahili kushinda. Makosa yaliyozaa goli la pili tusiwalaumu wachezajj wetu maana kwenyye mpira vitu hivyo uwa vinatokea hasa game ikiwa na pressure kubwa. Hata goli la Man U tulilowafunga la pili lilikuwa ni uzembe wa beki zao na golikipa. Kwahiyo mpira ni mchezo wa makosa. Ukifanya kosa mwezio anapata goli alifanya kosa na wewe unapata goli. Hakika vijana wetu kwa aina ya mpira waliocheza Man U vijana wetu walifanya kazi kubwa saaaana. Maana majamaaa yaliiingia ili yavunje viungo wetu na ili kutuharibia mood ya mpira.
Asante Mungu kwa point moja maana bado inatujengea confidence na consistency ya ushindi
 
Kitu ambacho ulikuwa haikujui kuhusiana na Matheo Guendouzi dhidi ya Manchester united jana ni kwamba, Uwanja mzima wa old Trafford ulikuwa anamzomea ili kumtoa mchezoni. Moja kati mashabiki ambao wanaamini kuwa Arsenal wana kipaji kizur kupitia Guendouzi ni Manchester united kwa hyo walijua akiwa kawaida atawapatia shida kwenye kuendesha mchezo kwenye eneo la kiungo. Amezomewa sana kiasi kpnd cha kwanza alishindwa kucheza vzr ila baada ya kurejea kpnd cha pili akili yale ilianza kuimarika. Kwa pamoja na yote matheo amecheza kwenye mazingira magumu sana jana akiwa Trafford na ndio maana umeona fellain kaja kufanya tukio ambalo c la kiungwana,ile ilikuwa ndio Tempo mzima Manchester kma walimtageti dogo ili watumie mapungufu yake ya kitokkomaa lkn hata hvyo hawakuwanikiwa sababu cyo kinda la wenger kma walivyozoea!

HII NI UNAI EMERY ERA
IMG-20181206-WA0023.jpeg
 
Back
Top Bottom