isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Hawa watu ni wahuni, mi naamini watamkosa Young na Shaw hao wengine ni propaganda tuWasianze kutafuta visingizio
Hawa watu ni wahuni, mi naamini watamkosa Young na Shaw hao wengine ni propaganda tuWasianze kutafuta visingizio
Prove itKumbe Eric dier alimwambia Ramsey aendelee kukaa bench wakati amesawazisha..... Kweli hii ni London derby![]()
TacticsTeam News:
Manchester United - Wachezaji wafuatao hawatacheza dhidi ya Arsenal
Mabeki wa pembeni Ashley Young, Luke Shaw, Antonio Valencia, Victor Lindelof na LAexis Sanchez wote watakuwa nje kwa kuwa majeruhi.
Hivyo safu ya mabeki itaundwa na Darmian, Phil Marcos, Rojo Diogo Dalot na Nemanja Matic kama beki wa kati. .
Scott McTominay anaweza kucheza nafasi ya kiungo na washambuliaji watakuwa ni pamoja na Romelu Lukaku na Marcus Rashford
More updates baadae.
Morinyo anapenda kuficha wachezaji mjinga yule alete kikosi chote wa kufa na afe tu kihalali.Tactics
Na sisi Torreira hatakuwepo, Auba na Lacazette wako likizo, Rasmey ameenda kumsalimia bibi yakeTeam News:
Manchester United - Wachezaji wafuatao hawatacheza dhidi ya Arsenal
Mabeki wa pembeni Ashley Young, Luke Shaw, Antonio Valencia, Victor Lindelof na LAexis Sanchez wote watakuwa nje kwa kuwa majeruhi.
Hivyo safu ya mabeki itaundwa na Darmian, Phil Marcos, Rojo Diogo Dalot na Nemanja Matic kama beki wa kati. .
Scott McTominay anaweza kucheza nafasi ya kiungo na washambuliaji watakuwa ni pamoja na Romelu Lukaku na Marcus Rashford
More updates baadae.
Tumewafunga man mara kibao tu si tangu 2006 ni vema ungeainisha ugenini au nyumbani. Tumewapiga fa juzi tu na ya 3 bila juzi juzi. Ainisha sawasawa.Kikosi cha Arsenal kinashuka ugenini leo kwenye Uwanja wa Old Trafford kuikabili Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu England.
Mchezo huo utapigwa leo Jumatano saa tano usiku mechi hiyo ikionekana kuziweka timu hizo katika vita ya kujiweka vema katika msimamo wa Ligi Kuu England.
Man United ambayo inayonolewa na kocha Jose Mourinho itapewa sapoti zaidi na mashabiki wake kwenye dimba la Old Trafford.
Kwa mara ya mwisho Arsenal iliifunga Manchester United mchezo wa Ligi Kuu England Septemba mwaka 2006.
Arsenal inaingia kwenye mchezo huo ikijiamini kutokana na ujasiri iliopata baada ya kuifunga Tottenham katika mchezo wake uliopita.
Kocha Unai Emery atakuwa uwanjani akihitaji ushindi ili kujihakikishia nafasi ya kuwapo nne bora ambapo zinafukuzana Man City, Liverpool, Chelsea huku Tottenham ikiwa nafasi ya tano na alama 30 sawa na Arsenal.
Naomba niirudie hii Man U,Liva na B.Munich ni timu ambazo natamani sana tuzibutue kila tukikutana nazo na hii inatokana na jinsi wanavyo tu-outclass tukikutana nao hata kama tukiwa na timu bora vipi tunakua dhaifu kwao.
Record yetu na Man U ni mbaya zaidi wameshinda mara 24,draws 15 na sisi tumeshinda mara 13 tu kwenye ligi(head to head) wakiwa na idadi kubwa ya magoli ya kufunga kuliko sisi na mara nyingi wametupiga tukiwa kwenye ubora wetu na mara ya mwisho kupata matokeo pale OT ni 2006(EPL) natamani leo tuachane na huu mzimu,binafsi nitaangalia hii game nikiwa sina amani kabisa.
Tumewafunga man mara kibao tu si tangu 2006 ni vema ungeainisha ugenini au nyumbani. Tumewapiga fa juzi tu na ya 3 bila juzi juzi. Ainisha sawasawa.

Na sisi Torreira hatakuwepo, Auba na Lacazette wako likizo, Rasmey ameenda kumsalimia bibi yake