Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,277
- 3,001
Lacazette angeanza ili Iwobi aingie subHapana mkuu.
Granit Xhaka ndo anakosa mechi ya leo anatumikia adhabu ya kukosa mechi moja kwa kupokea kadi 5 za njono.
Hivyo basi, Matteo Guendouzi anaanza mechi na atakuwa pale katikati akishirikiana na Lucas Torreira.
Habari ni kwamba timu iloanza na Tottenham ndo itakayoanza leo ukiondoa Guendouzi.
Yaani nyuma Kipa ni Leno na mabeki watatu wa kati, Robert Holding, Mustafi na Sokratis
Mabeki wa pembeni ni Kolasinac na Bellerin
Katikati ni Guendouzi na Torreira
Mbele kati ni Alex Iwobi na Mkhitaryan
Na mshambuliaji ni Aubameyang.
Mtindo ni 3-4-2-1
Tungoje list kamili itakapothibitishwa.

️