Dah yaani huyu sijui tuamfunga lini,ila unaweza shangaa leo tukapigwa kwani Morinho mtu wa kukamia,lakini akikutana na watoto anawekwa.
Goli Lao la kusawazisha Herrera Alikua offside...Hawa jamaa miaka yote ni hivihivi..utashangaa wanapewa penalty second half.Refa hii game imeshamshnda
Iwobi utoto mwingi sanaIwobi kama anatuchelewesha ivi,au nimepaniki...?
Nyoko nini?Nyokooooo
Lingard kajifunga?Nyoko lingard