Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Monday motivation....
IMG_0278.JPG
 
Matumaini yapo game bado fire ila ss hatumtegemei refa katu. Kipindi cha pili kochafanye sub za maana hasa kwa mustafi huwa simuamini sana kisha hapa mbele amtoe iwobi aingie lacazette abu aende pembeni laccazate aje kati moto uendelee.
We ARE the GUNNERS forever.
Uliongea kitalaamu sana naona unai alipita hapa jf.
 
IMG_0287.JPG

Mashabiki wa Spurs walifanya tukio la aibu na lililokosa uungwana kwa kumrushia PEA ganda la ndizi waliashiria ubaguzi wa rangi,FA imewafungia mashabiki hao kwa kitendo hicho.
 
Back
Top Bottom