Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manchester United could be without eight defenders for the meeting with Arsenal on Wednesday. Smalling, Bailly, Jones, Shaw, Lindelof, Valencia and Darmian all have injuries and Young is suspended. [@TelegraphDucker] The Peoples Person on Twitter
 
Emery aliangalia video za chelsea vs tot

Akagundua chelsea alipotezwa kwenye midfield

Jana akaweka mid za kutosha halafu akawanyima uhuru tot wakucheza kati,

Kama mliangalia kwa makini mpira ,utagundua mpira ulitakiwa uishe dk 20 za kwanza kama sio papara ya iwobi, na utulivu wa micky

Sasahiv emery yupo na video za nyumbu,

Nataraji kuona nyumbu akipaki bas hapo hapo OT
 
Solihull Moors/Blackpool vs Arsenal.. FA Cup 3rd Round
IMG-20181203-WA0008.jpeg
 
This is exactly what i was talking about sasa nataka nione game plan ya mechi na nyumbu itakuajee
 
Mara ya mwisho kucheza na man u katikati ya wiki OT tulishinda 1-0 wiltford akiwa mfungaji na tukatangaza ubingwa OT..it was 2002

I hope it will be the same tomorrow tunashinda pale OT....tuwe makini na hizi habari za man u wanazosema kwamba sijui wachezaji 8 hawatakwepo kwenye gemu yetu kumbukeni hawa ni wataalamu sana kwenye kucheza na akili zetu so kocha awe makini na wachezaji wawe makini tusiweke hicho kitu kichwani...we just need to be full focus 90mins and deny them spaces and high press+clinical finishing from our strikers...hii gemu tutakuwa tumeshinda..◇#COYG
 
Mark Clattenbur:-Mike Dean alikosea-

Mwamuzi wa kimataifa wa Uingeleza, Mark Clattenburg amesema ya kwamba mwamuzi wa mchezo wa jana kati ya Arsenal na Totenham alifanya makosa katika magoli yote mawili yaliyofungwa na Totenham.

Akitoa ufafanuzi kuhusu magoli hayo,Mark Clattenburg alisema ya kwamba Mike Dean alipaswa kukataa goli la kusawazisha la Totenham kwani mfungaji wa goli hilo, Eric Dier alikuwa ameotea kabla ya Eriksen hajapiga mpira wa faulo.

Kuhusu penati, refa huyo ambaye kwa ni mkuu wa kitengo cha waamuzi cha shirikisho la soka la Saudi Arabia, alisema ya kwamba mchezaji wa Totenham, Son alijiangusha kwani beki wa Arsenal hakumgusa.

Marudio ya tukio hilo yalionesha ya kwamba ni kweli mchezaji huyo alijiangusha na kusababisha Mike Dean kuwazawadia Spurs penati iliyozaa goli lao la pili.

Pamoja na kubebwa huko, Arsenal walifanikiwa kufunga magoli matatu katika kipindi cha pili na kufanikiwa kushinda mchezo huo kwa jumla ya magoli 4-2.

Kesho kutwa jumatano Arsenal itakuwa katika uwanja wa Old Traford kucheza na Manchester United katika muendelezo wa ligi kuu ya Uingeleza
 
Mara ya mwisho kucheza na man u katikati ya wiki OT tulishinda 1-0 wiltford akiwa mfungaji na tukatangaza ubingwa OT..it was 2002

I hope it will be the same tomorrow tunashinda pale OT....tuwe makini na hizi habari za man u wanazosema kwamba sijui wachezaji 8 hawatakwepo kwenye gemu yetu kumbukeni hawa ni wataalamu sana kwenye kucheza na akili zetu so kocha awe makini na wachezaji wawe makini tusiweke hicho kitu kichwani...we just need to be full focus 90mins and deny them spaces and high press+clinical finishing from our strikers...hii gemu tutakuwa tumeshinda..◇#COYG
Wachezaji wao wote tunawajua na ndio tunaowahitaji tucheze nao. No additional.
We ARE the GUNNERS forever.
 
Kumbe Eric dier alimwambia Ramsey aendelee kukaa bench wakati amesawazisha..... Kweli hii ni London derby
 
Back
Top Bottom