Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uliongea kitalaamu sana naona unai alipita hapa jf.
 

Mashabiki wa Spurs walifanya tukio la aibu na lililokosa uungwana kwa kumrushia PEA ganda la ndizi waliashiria ubaguzi wa rangi,FA imewafungia mashabiki hao kwa kitendo hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…