Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Once gunner always gunner
Wojo
Wojo
Mkuu Richard je unaona future yeyote ya Ozil under Emery?
Naona game ya Bournemouth alikiri kuwa siku akihitaji Physicality/Bullying kwenye midfield Ozil hatocheza...
USHINDI WA KIJESHI KWA ARSENAL YA KIJESHI.
Kwa upande wangu mimi unaeza kua ushindi bora zaidi wa Arsenal kwa miaka 10 ya hivi karibuni, kwa nini?
Ilikua ni kawaida sana kwa Arsenal kupoteza mechi yoyote kubwa au ndogo ikiwa nyuma sana sana draw au ata kama ni ushindi ni kwa timu ndogo sana na ni jambo ambalo hakuna shabiki anae penda Kiukweli lakini siku zinakwenda na mambo yana badlika sana leo hata Arsenal anatoka nyuma na kupata ushindi mnonoo kwa Spurs ambayo imetoka kushinda mechi 5 mfululizo katika mashindano yote.
Sababu za ushindi ni swala ambalo liko wazi, Unai Emery unaeza ukajiuliza kwa nini hakuna usajili mkubwa wa kushangaza alio fanya lakini anafanikiwa? Jibu lake ni dogo sana Unai kafanikiwa kuwatengeneza wachezaji kiakili na kiroho kwa asilimia 75% mpaka sasa.
Ukiangalia wachezaji ni wale walee ambao walikua wanaonekana si lolote si chochote kabla ya kufika kwake, Kwa mfano Xhaka, Bellerin, Iwobi, Mustafi lakini leo wamekua kama wamezaliwa upya na wenye viwango vya juu mno.
Twende kwenye kichwa cha habari, Nikisema Arsenal ya kijeshi simaanishi ni timu ya jeshi na nikisema ushindi wa kijeshi simaanishi ni ushindi uliopatikana kwa mtutu wa bunduki.. Bali ni ushindi uliopatikana kwa kupigana kufa na kupona kutoka kwa wachezaji walio pambana kufa na kupona.
Ukiangalia Arsenal leo mapambano yalianzia kwa leno golini kabisa mpaka kwenye wanaume 5..Kolasinac, Holding, Mustafi, Bellerin na Sokratis, namaanisha hivyo kwa sababu spurs ni timu inayoshambulia kwa kasi sana kutokea kwa mabeki wake wa pembeni ambao leo walokua Aurier na Winks Lakin mpaka tunaongea leo hamna ata mmoja wao aliyepiga japo krosi 2 kamilifu, hii imetokana na uimara wa mabeki 2 Kolasinac na Bellerin kucheza zaidi langoni mwao tukiwa na mpira hivyo kuwanyima uhuru wa kupanda kushambulia.
Pale kati ndo palikua moto kuliko tunakutana na Lucas Torreira na kichaa waki swizi Xhaka wale jamaa wamepiga kazi kama misukule Kama tulivokua na mpira unamuona xhaka akibaki katikati kulinda mashambulizi jambo ambalo linampa Torreira mwanya wa kuongeza nguvu kwenye kushambulia na kuongeza idadi ya watu 6 kwenye kushambulia Mabeki wa pembeni nao wanakua na jukumu la kushambulia hivyo shambulio lenye watu zaidi ya 5 lina asilimia nyingi mno za kuzaa magoli kitu ambacho kinaifanya Arsenal kuwa na magoli mengi ya kufunga epl ikizidiwa na Man city tu.
Pale mbele Auba, laca au yoyote atakae simama kama namba 9 anakua na kazi ya kuassist, kutafuta nafasi na kufunga.
Tuje kwenye upande wa kuzuia Arsenal inaanza kuzuia kwanzia mbele na kumnnyima mpinzani nafasi ya kuanzisha mashambulizi nyuma na kama hilo likishindikana basi kuna watu wanaotokea pembeni ambao leo alikua mkhi na Iwobi 1st half wanasogea mpaka kwenye lango letu kuondosha hatari huku wakiwa na jukumu la kwenda kushambulia mda huohuo.
Mi niseme tu kazi anayofanya na atakayo ifanya Unai ni kubwa sana na Anauwezo wa kushinda mataji mengi zaidi kama ataendelea na mtiririko huu.
#coyg#afc#WeAreTheArsenal
Wakati nacheki game kwny hilo tukio ht me nikasema duh huyu ni shida hakubali kushindwa ni king'anizi hatari,tumekosa mtu kama yy kitambo sn,he makes a difference!
Chief ndio natoka calabash hapa kama upo karibu pitia kuna balimi zako zakutosha utasindikizia na live bandUSHINDI WA KIJESHI KWA ARSENAL YA KIJESHI.
Kwa upande wangu mimi unaeza kua ushindi bora zaidi wa Arsenal kwa miaka 10 ya hivi karibuni, kwa nini?
Ilikua ni kawaida sana kwa Arsenal kupoteza mechi yoyote kubwa au ndogo ikiwa nyuma sana sana draw au ata kama ni ushindi ni kwa timu ndogo sana na ni jambo ambalo hakuna shabiki anae penda Kiukweli lakini siku zinakwenda na mambo yana badlika sana leo hata Arsenal anatoka nyuma na kupata ushindi mnonoo kwa Spurs ambayo imetoka kushinda mechi 5 mfululizo katika mashindano yote.
Sababu za ushindi ni swala ambalo liko wazi, Unai Emery unaeza ukajiuliza kwa nini hakuna usajili mkubwa wa kushangaza alio fanya lakini anafanikiwa? Jibu lake ni dogo sana Unai kafanikiwa kuwatengeneza wachezaji kiakili na kiroho kwa asilimia 75% mpaka sasa.
Ukiangalia wachezaji ni wale walee ambao walikua wanaonekana si lolote si chochote kabla ya kufika kwake, Kwa mfano Xhaka, Bellerin, Iwobi, Mustafi lakini leo wamekua kama wamezaliwa upya na wenye viwango vya juu mno.
Twende kwenye kichwa cha habari, Nikisema Arsenal ya kijeshi simaanishi ni timu ya jeshi na nikisema ushindi wa kijeshi simaanishi ni ushindi uliopatikana kwa mtutu wa bunduki.. Bali ni ushindi uliopatikana kwa kupigana kufa na kupona kutoka kwa wachezaji walio pambana kufa na kupona.
Ukiangalia Arsenal leo mapambano yalianzia kwa leno golini kabisa mpaka kwenye wanaume 5..Kolasinac, Holding, Mustafi, Bellerin na Sokratis, namaanisha hivyo kwa sababu spurs ni timu inayoshambulia kwa kasi sana kutokea kwa mabeki wake wa pembeni ambao leo walokua Aurier na Winks Lakin mpaka tunaongea leo hamna ata mmoja wao aliyepiga japo krosi 2 kamilifu, hii imetokana na uimara wa mabeki 2 Kolasinac na Bellerin kucheza zaidi langoni mwao tukiwa na mpira hivyo kuwanyima uhuru wa kupanda kushambulia.
Pale kati ndo palikua moto kuliko tunakutana na Lucas Torreira na kichaa waki swizi Xhaka wale jamaa wamepiga kazi kama misukule Kama tulivokua na mpira unamuona xhaka akibaki katikati kulinda mashambulizi jambo ambalo linampa Torreira mwanya wa kuongeza nguvu kwenye kushambulia na kuongeza idadi ya watu 6 kwenye kushambulia Mabeki wa pembeni nao wanakua na jukumu la kushambulia hivyo shambulio lenye watu zaidi ya 5 lina asilimia nyingi mno za kuzaa magoli kitu ambacho kinaifanya Arsenal kuwa na magoli mengi ya kufunga epl ikizidiwa na Man city tu.
Pale mbele Auba, laca au yoyote atakae simama kama namba 9 anakua na kazi ya kuassist, kutafuta nafasi na kufunga.
Tuje kwenye upande wa kuzuia Arsenal inaanza kuzuia kwanzia mbele na kumnnyima mpinzani nafasi ya kuanzisha mashambulizi nyuma na kama hilo likishindikana basi kuna watu wanaotokea pembeni ambao leo alikua mkhi na Iwobi 1st half wanasogea mpaka kwenye lango letu kuondosha hatari huku wakiwa na jukumu la kwenda kushambulia mda huohuo.
Mi niseme tu kazi anayofanya na atakayo ifanya Unai ni kubwa sana na Anauwezo wa kushinda mataji mengi zaidi kama ataendelea na mtiririko huu.
#coyg#afc#WeAreTheArsenal
Mkuu wa wilaya anawasalimiaView attachment 953731
Sababu kubwa ya Özil kutocheza ni suala la Captain Armband (Kuhusika kusupport LGBT Community) Hata Xhaka hakuwa happy at allOzil ana tatizo la uzembe na Emery huwa hapendi tabia hiyo.
Ndo maana ukivurunda kama Iwobi na Mkhitaryan unaondolewa mapema kupisha wengine waje kutafuta ushindi.
Ozila kuna wakti anacheza kwa ustadi na kuna wakati khasa wa mechi muhimu kama ile na Crystal Palace Arsenal ilikuwa ishinde lakini Ozil akawa anapoteza mipira katikati, kisha hafanyi jitihada kuipokonya mipira hiyo.
Kama umegundua sasa hivi, mchezaji yoyote wa Arsenal akipoteza mpira ni lazima autafute na aukomboe bila kuanza kujivuta na kutembea uwanjani.
Halafu Emery ni kama Klopp wa Liverpool, yaani wanashinda kwenye touchline kuhakikisha watu wanajishughulisha.
Ozil anaweza kuachiwa amalizie mkataba akiwa bench, Arsenal hawaoni hasara, maana wanataka kuondoa wachezaji wote wanaosumbua kwa kudai pesa nyingi wakti ufanisi uwanjani hakuna.
Ila upo uwezekano akacheza jumatano dhidi ya Manchester United.
Umeeleweka mkuu! Sio huyo anayepuyangaSababu kubwa ya Özil kutocheza ni suala la Captain Armband (Kuhusika kusupport LGBT Community) Hata Xhaka hakuwa happy at all
Mnakutana naontarehe 2 mwezi wa tatuPenalty goal. AubaView attachment 953873View attachment 953875
Kama kuna gem ya arsenal ilio fanya nijifunze kutukana basi hii ndio itabeba dhambi
Unai ni konkii fire hatari fire anafanya sub za mahesabu sahihi nahisi kule psg alikua anapangiwa kikosi
Toreirra alikosea kujifananisha na simba,ana sifa zote za nyegere kwa jinsi asivyokubali kushindwa na haogopu mtu.