Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partnership ya Xhaka/Torreira ni nzuri sana...Ila sio mbaya Ramsey still yupo vizuri..

Xhaka amebadilika sana ameboreka akiwa na Torreira.

Ila Huyu Torreira Kaleta kitu kikubwa sana pale Kati...Ananikumbusha Gilberto Silva...

Xhaka hatakuwepo jumatano maana leo amepewa kadi ya tano ya njano.

Lakini tutacheza kama kawaida.

Naona hapo Ramsey anaziba kwa Xhaka.
 
Nasikitika ramsey anaachwa. Ni mzuri zaidi ya mkhitaryan.

Ramssy ni CM ila ana tatizo la kutorudi nyuma kusaidia timu inapokuwa imezidiwa.

Hilo ni tatizo kubwa sana alipokuwepo Arsene Wenger.

Ndio maana maelekezo kwake akiingia kipindi cha pili ni kucheza katikati mbele ya Torreira akiwasaidia Auba na Lacazette.

Ndio mtindo twaweza kuuita 3-4-1-2

Ni mtindo mzuri sana ambao Arsenal hutumia kipindi cha pili.
 
Tuko pamoja
IMG-20181202-WA0045.jpeg
 
Mkuu Richard je unaona future yeyote ya Ozil under Emery?

Naona game ya Bournemouth alikiri kuwa siku akihitaji Physicality/Bullying kwenye midfield Ozil hatocheza...

Back
Top Bottom