MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Huyu refa tukichomoka tushukuru Mungu.Kweli refa wao dah
Huyu refa tukichomoka tushukuru Mungu.Kweli refa wao dah
Ushindi wetu kipindi cha kwanza huwa siuamini sana kama ule tunaoupata kipindi cha pili.
We ARE the GUNNERS forever.
Tusubiri kidogo Mkuu mgonjwa bado anapumulia MashineJaman tutangaze msiba au mgonjwa bado ana matumaini
Hata mm nimeona ileMike Dean ametoa soft penati.
Matumaini yapo game bado fire ila ss hatumtegemei refa katu. Kipindi cha pili kochafanye sub za maana hasa kwa mustafi huwa simuamini sana kisha hapa mbele amtoe iwobi aingie lacazette abu aende pembeni laccazate aje kati moto uendelee.Jaman tutangaze msiba au mgonjwa bado ana matumaini
Imebua mjadara mkubwa sana BBC sportMike Dean ametoa soft penati.
Matumaini yapo game bado fire ila ss hatumtegemei refa katu. Kipindi cha pili refa afanye sub za maana hasa kwa mustafi huwa simuamini sana kisha hapa mbele amtoe iwobi aingie lacazette abu aende pembeni laccazate aje kati moto uendelee.
We ARE the GUNNERS forever.
siyo soft penalt,hakukua na penalt kabisa huyu refa mwanakharamu mkubwaMike Dean ametoa soft penati.
Ndugu wa karibu wanaonekana wametingwa sana.mm nipo kwa mtu wa jeneza "Just in case".naomba mwingine afuatilie turubaliKweli umechanganyikiwa. Eti refa afanye sub .
Tena kadata kwel kwelKweli umechanganyikiwa. Eti refa afanye sub .
Penalty hyo hujaona walivyoonesha vzuri HT son aliguswa pale kidogosiyo soft penalt,hakukua na penalt kabisa huyu refa mwanakharamu mkubwa
Naona kwa iwobi amapanic kidogoIwobi and Mikh OUT
Lacz and Ramsey IN