joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,848
- 39,509
Kwa jeuri kabisa neeeeeeeeeeeeext..
............ Huu ndio msimu wetu wakurudisha shavu na badooo shubamit.
............ Huu ndio msimu wetu wakurudisha shavu na badooo shubamit.
Muosha huoshwaASANTE ASERNAL KWA KUTULIPIA KISASI..!
Kweli pongez ya faaASANTE ASERNAL KWA KUTULIPIA KISASI..!
Nyie wehu bado mpoo. Subirini jumatano niwakanyage na nyie.Tena kadata kwel kwel
Naujua mpira kuliko wewe.Tena kadata kwel kwel
Kakojoe ulale biashara tumemaliza.Arsenal kipigo hakikwepeki.
Ndio maana nikakwambia mpaka utoe damu vijana wenu wamepambana hongera
Nan katoa damu, hii game bila ujinga na utoto wa iwobi ,ilishaisha dk 20 za kipind cha kwanzaNipo
Ndio maana nikakwambia mpaka utoe damu vijana wenu wamepambana hongera
Hongera always end justify the meansNan katoa damu, hii game bila ujinga na utoto wa iwobi ,ilishaisha dk 20 za kipind cha kwanza
Ukamkanyage Liverpool tena mbona sikuelewi me ushanikanyaga tyr 1-1Nyie wehu bado mpoo. Subirini jumatano niwakanyage na nyie.