The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,115
- 102,702
Arsenal kipigo hakikwepeki.
Yaani refa afanye sub?Matumaini yapo game bado fire ila ss hatumtegemei refa katu. Kipindi cha pili kochafanye sub za maana hasa kwa mustafi huwa simuamini sana kisha hapa mbele amtoe iwobi aingie lacazette abu aende pembeni laccazate aje kati moto uendelee.
We ARE the GUNNERS forever.
️Aliguswa pale kidogo...... Zikiwa zinatolewa penalty za hivo mkuu game nzima zitatoka zaidi ya kumiPenalty hyo hujaona walivyoonesha vzuri HT son aliguswa pale kidogo
Kuifunga spurs iliyo kamilika ni kutoa jasho la damu Liverpool na city walicheza nao wakati key player wa mifumo dele na Hugo wako injury vinginevyo wangeonja shubiri
Kuifunga spurs iliyo kamilika ni kutoa jasho la damu Liverpool na city walicheza nao wakati key player wa mifumo dele na Hugo wako injury vinginevyo wangeonja shubiri
Niko sawa kabisa mkuu tena normal already editedKweli umechanganyikiwa. Eti refa afanye sub .
Lete updates mkuu, wengine tupo mbali na runinga. Game ikoje?Auba...️
Arsenal 2-2 Spurs
Dakika ya 56
Kwetu spurs watalala na viatu na point tatu tunabeba.Kwa Liverpool sawa, hadi City?
Kwetu spurs watalala na viatu na point tatu tunabeba.
Kama kawaKwetu spurs watalala na viatu na point tatu tunabeba.
️Kijana karibu nyumbani kumenogaHongereni arsenal kwa ushindi
Mkuu unakosea sana huandiki minute-per-minute update.Lacz..️
Arsenal 3-2 Spurs
Dakika ya 74