BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,903
- 11,711
Ww umefuzu??Unasubir kukamilisha ratiba,
Ww umefuzu??Unasubir kukamilisha ratiba,
Mkuu bas msife mpate draw
Hapo mikh akitoka aingie lakanyavuOur starting XI
View attachment 953383
Anaumwa babuOzil kawaje tena mechi iliyopita ya ligi alikuwa bench hii hayupo hata sub....
Ok..... Nilikuwa sijuiAnaumwa babu
️Mambo ni moto arsenal 1 wao 0 abumeyang huko man u sielewi kama mavi hayagongi chupi.
Iwobi ugonjwa wake umerudiHii nafasi ya iwobi ilikuwa nzuri sana kuata bao
Ushindi wetu kipindi cha kwanza huwa siuamini sana kama ule tunaoupata kipindi cha pili.Arsenal 1-2 Spurs
Dakika ya 34