Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira umechezwa vizuri. Kocha kaweka viungo wa kazi watatu gundozi,Elney na Ramsey halafu kaweka beki nne leinchester, niles, holding na kinda mwingine hivi.
Kule mbele kamuweka Lowe, nketiah na willock.Walichofanya hawa watoto ni kufuru. Wameonesha kiwango cha juu. Wamekuja kupoteana dakika za mwisho walipowatoa viungo wote watatu lakini bado wameonesha uwezo. Smith Rowe ni man of the match. Willock ni Kanu mpya Emirates.
Cech bado ni goalkeeper bora. Waliobet wote sasa mliiua arsenal mikeka imechanika. We ARE the GUNNERS forever .
Sipati picha hawa watoto wakikutana na man United. Haaaahaaaaaahaaaaa.
 
Emile Rowe
1543522773284.jpeg
 
Hhhhh....kweli mkuu pia hata ile dhidi ya Fulham second half nilicheki kama nipo peponi...
hapo kwenye pepo! Ukiwa umezungukwa na "mizigo" ya kutosha (Sheikh Kipozeo)


Kuna mechi unaangalia mpaka unajuta kwamba ni heri ningepata matokeo, full stress, jamaa wanakuja muda wote, kipa anaokolea ukucha, mipira inagonga besela..hahahah
 
Nilikuwa nafikiri Arsenal academy ilishakufa lakini naona arsenal wameweza tena kutengeneza kimosi bora cha vijana kama kile cha akina wilshere, Walcott na bellerin
Wale watoto walicheza vizr foward kwa kuwa nyuma yao walikuwepo wazee watatu wa kazi viungo bora gundozi, ramsey na elney huku nyuma wakakaa holding, Carl jenkinson, leinchester na maitlend nile.
Walikuwa moto sana.
 
Wale watoto walicheza vizr foward kwa kuwa nyuma yao walikuwepo wazee watatu wa kazi viungo bora gundozi, ramsey na elney huku nyuma wakakaa holding, Carl jenkinson, leinchester na maitlend nile.
Walikuwa moto sana.
Ni kweli mkuu, hawa wazee walitusaidia sana... Naamini uzoefu wao utawasaidia hawa madogo na ndani ya misimu miwili ijayo hawa madogo watakuwa tegemeo emarates
 
•Arrizabalaga
•Jorginho

*= £130.5m*

•Leno
•Torreira
•Sokratis
•Lichtsteiner
•Guendouzi
•Aubameyang

*= £128.5m*

A reminder that for what Chelsea paid for Kepa & Jorginho, Arsenal bought a better GK & MF, an experienced CB & RB, a future star & one of the most deadly finishers in Europe.
 
•Arrizabalaga
•Jorginho

*= £130.5m*

•Leno
•Torreira
•Sokratis
•Lichtsteiner
•Guendouzi
•Aubameyang

*= £128.5m*

A reminder that for what Chelsea paid for Kepa & Jorginho, Arsenal bought a better GK & MF, an experienced CB & RB, a future star & one of the most deadly finishers in Europe.

That is why Chelsea is above Arsenal akwenye table
 
•Arrizabalaga
•Jorginho

*= £130.5m*

•Leno
•Torreira
•Sokratis
•Lichtsteiner
•Guendouzi
•Aubameyang

*= £128.5m*

A reminder that for what Chelsea paid for Kepa & Jorginho, Arsenal bought a better GK & MF, an experienced CB & RB, a future star & one of the most deadly finishers in Europe.
Ndo hilo lundo la wachezaji wamepigwa goli 16 hadi sasa, wako chini ya Chelshit na yawezekana kesho wakapotea top5
 
*ARSENAL SPURS* (London Derby)

*Emery Pochetino*
7 games played

Emery - 4 wins
Pochetino - 2 wins
- 1 draw

*Come on Emery make 5 wins against that trophy less coach....

*Come on Aubameyang, Aguero has not scored today, prove them your currently the best striker in Epl we need that boot..

*Come on Leno, we need a clean sheet tomorrow, let Harry Kane and his boys know Arsenal have a super glue in goal..

*Come on Torreira, just prove the world that short people are gods of football, Messi already did..

*Come on Ozil, the all world knows your the king of assist add on more as usual..

*Come on Lacazette, you have a mission of proving that your currently the best striker France have..

*Come Xhaka, I expect a boom shot from you, you did to De Gea last season and you made me

*Come on the entire Arsenal, we need to prove this Spurs team that we are the Kings of London..

*ARSENAL WE ARE FAMILY*
 
Back
Top Bottom