Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Arsenal Wamependekeza majina ya wachezeji wao 4 ndani ya timu. Majina hayo yametajwa jana kwa lengo la kuwapa Fursa mashabiki wa timu iyo. ili kumpigia kura mchezaji anaestahili kunyakuwa tuzo iyo. na mshindi atakae wazidi wenzake kwa kura uyo ndio atatangazwa rasmi km mchezaji bora wa timu kwa mwezi huu wa 11.
[emoji818]Lucas Torreira
[emoji818]Rob Holding
[emoji818]Alex Iwobi
[emoji818]Bernd Leno
Je? wew unampa mchezaji gani kura yako ambae anastahili kushinda tuzo iyo ya mchezaji bora wa Arsenal mwezi huu.
FOR ME NAMPA TOREIRA MASTER
[emoji818]Lucas Torreira
[emoji818]Rob Holding
[emoji818]Alex Iwobi
[emoji818]Bernd Leno
Je? wew unampa mchezaji gani kura yako ambae anastahili kushinda tuzo iyo ya mchezaji bora wa Arsenal mwezi huu.
FOR ME NAMPA TOREIRA MASTER