Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Highest paidView attachment 947428
Mikhtaryan nadhani nae ana pauni 180,000 kwa wiki kama sikosei same to Lacazette
Highest paidView attachment 947428

Mle mle tuMikhtaryan nadhani nae ana pauni 180,000 kwa wiki kama sikosei same to Lacazette
Angalau....Captain is back...
View attachment 947469
Amecheza kwa dakika 45 kwenye game ya U23 karibu tena The Boss.
Sa mbona unadanganya umatiBig match hiyo lazima niicheki mkubwa
Sa mbona unadanganya umati
Kutangulia kufungwa na kusawazisha ina maanisha timu imezidiwa??Mliwazidije ilhali mlikuwa mnahaha kurudisha lile goli walilowawasha mapema tu?
Ni kawaida yetu huwa tuna come back hatuchagui timu na huwa lazima tusawazishe. Mbona live tulicomeback na mambo yakawa sawa.Uwezo huo ni kwa timu chache sana.Mliwazidije ilhali mlikuwa mnahaha kurudisha lile goli walilowawasha mapema tu?
Aliwahi shangilia bao spurs walipowafunga Newcastle pia....sisi hatupendi katu kama ulivyocheki gemu ile na cheli..... In short kichaa kapewa rungu...Mike dean iweje awe refa wakati aliwahi shangilia goli walilosawazisha toten dhidi yetu tukiwa tumewapiga tatu.Wallah fa mna wazimu na huyu refa kwetu. M
Huyu refa ni spurs damu ingekuwa bongo tungempiga na mawe mtaani huyu kichaa wa uingereza.Aliwahi shangilia bao spurs walipowafunga Newcastle pia....sisi hatupendi katu kama ulivyocheki gemu ile na cheli..... In short kichaa kapewa rungu...
But kama Unajua Unajua tu....
Huyu refa ni spurs damu ingekuwa bongo tungempiga na mawe mtaani huyu kichaa wa uingereza.


.....all in all ngoja tuone j'pili itakuwaje...Watu wa ukamen bhanaView attachment 947331[loserfools wanatia huruma dahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Ozil London
Iwob London
Mustafi London
Sead London
Hector London
Toreira London
Xhaka London
Auba London
Lacazete London
Koscienly London
Sokratis London
Leno London
Timu nzima imebaki nyumbani kupiga tizi kwa ajili ya spurs .....
Apo unaweza kupanga kikosi chako vzuri tu .
Leno
Hector
Sead
Mustaf
Sokratis/rob/lolo
Xhaka
Toreira
Iwob
Auba
Ozil
Lacazette
Sub....
Czech, gundouz,elneny,Rowe, Ramsey, mikhtarian
*bring it on Gunners*
#coyng
#coyng