Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Acha vijana wakapate uzoefu kidogo..Mechi yenyewe haieleweki kama itakuwepo Au la..

Naona Ramsey anachezea bench sana kipindi hiki..January Ifike auzwe Emery alete Torreira mwingine pale Kati.
Nilisikia anamtaka Banega wa Sevilla
 
Mkuu natamani game ya Spurs tucheze kwa tactics kama Last game 3-4-3...Hector na Kolasinac wasukume mashambulizi tokea pembeni.

Auba aanze, Ozil atulie Benchi tena Sababu Spurs wanaweza wakaweka watu wa kazi Kati akina Sissoko,Dembele...atapotea.
Tunahitaji kuwin battle ya kiungo kwa namna yeyote Ile.

Tukitumia flanks yule Son atapata kazi ya kukaba asiwe free...Huku nyuma Holding sina shaka atalala na Kane.Pale Kati sina shaka Man of the Match Torreira atakua na Erricksen..

Sioni Spurs anatokaje hii game.Labda kama uchawi upo.

Ozil London
Iwob London
Mustafi London
Sead London
Hector London
Toreira London
Xhaka London
Auba London
Lacazete London
Koscienly London
Sokratis London
Leno London
Timu nzima imebaki nyumbani kupiga tizi kwa ajili ya spurs .....
Apo unaweza kupanga kikosi chako vzuri tu .

Leno
Hector
Sead
Mustaf
Sokratis/rob/lolo

Xhaka
Toreira

Iwob
Auba
Ozil

Lacazette

Sub....
Czech, gundouz,elneny,Rowe, Ramsey, mikhtarian

*bring it on Gunners*

#coyng
#coyng
 
Mkuu natamani game ya Spurs tucheze kwa tactics kama Last game 3-4-3...Hector na Kolasinac wasukume mashambulizi tokea pembeni.

Auba aanze, Ozil atulie Benchi tena Sababu Spurs wanaweza wakaweka watu wa kazi Kati akina Sissoko,Dembele...atapotea.
Tunahitaji kuwin battle ya kiungo kwa namna yeyote Ile.

Tukitumia flanks yule Son atapata kazi ya kukaba asiwe free...Huku nyuma Holding sina shaka atalala na Kane.Pale Kati sina shaka Man of the Match Torreira atakua na Erricksen..

Sioni Spurs anatokaje hii game.Labda kama uchawi upo.
Upande wa auba Emery anamwekaga Iwobi... Labda Iwobi aanzie benchi halafu auba aanze... Ozil atamwanzisha tu hii gemu
 
Today's Lineups for both teams

[http://img]

Vorskla XI: Shust, Perduta, Skliar, Kulach, Sharpar, Chesnakov, Sapai, Kolomoets, Dallku, Artur, Rebenok.

Subs: Tkachenko, Serhiichuk, Mysyk, Careca, Chyzhov, Sakiv, Kane.

Arsenal XI: Arsenal XI: Cech, Elneny, Ramsey, Lichtsteiner, Maitland-Niles, Holding, Jenkinson, Guendouzi, Nketiah, Smith Rowe, Willock.

Subs: Martinez, Mkhitaryan, Gilmour, Medley, Osei-Tutu, John-Jules, Saka.
 
Back
Top Bottom