Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baba sasa kwann hukushinda? Kwann mpaka utiwe na kuja kuchomoa dakk za mwisho. Muda wote huo ulikuwa unacheza nn hukushinda?
Kutokushinda ni matokeo lkn cha moto ulikiona

Tena mlitamba sana. Tukawaambia hapa,

Tulichoshuhudia ni fabinyo kucheza rafu na kuruka ruka tu

Na sitashangaa mkimaliza kapa msimu hu tena
 
Kama Arsenal Watakua na Pesa ya Kumleta Dembele wamchukue tuu....

Kila mtu ni mtukutu duniani, inategemea anaishi na kina nani tuu....

Aubameyoung walisema ni mtukutu pia lakini cha ajabu maisha yanasonga tuu pale north London....

Dembouz ni mtoto mdogo sana kwa Konki Konki Konki Unai Emery Master.... Aje tuu
Na tutawavuta wengi wa Dortmund.... Mwishowe tuwe ka bayern
 
Kutokushinda ni matokeo lkn cha moto ulikiona

Tena mlitamba sana. Tukawaambia hapa,

Tulichoshuhudia ni fabinyo kucheza rafu na kuruka ruka tu

Na sitashangaa mkimaliza kapa msimu hu tena
Nyie mkamaliza na nini?
 
Nyie mkamaliza na nini?
Watu wa ukamen bhana
IMG-20181126-WA0023.jpeg
 
Mwenzako anaongelea msimu huu. Nauliza nyie mtatoka na nn kama sisi tutatoka kapa?
Kwan ninyi si mmezoeleka bhana...mmeshindwa kwa ubora wenu wa last season mnategemea nn this season??!!!.... Timu isiyo na presha ya makombe...kila la kheri
 
Kwan ninyi si mmezoeleka bhana...mmeshindwa kwa ubora wenu wa last season mnategemea nn this season??!!!.... Timu isiyo na presha ya makombe...kila la kheri
Sawa. Nyie hamjazoeleka. Ngojen tuone mtapata nn huu msimu.
 
Back
Top Bottom