Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tottenham kuna Harry Kane kuna Eriksen kuna Dele Alli, mpira dakika tisini maneno kama haya hayaChelsea wameyaongea sana mwisho wao wakapigwa kichapo heavy na hao hao mnaoongea kirahisi kuwa mnawafunga. Kuna mmoja hapo juu anasema na Man Utd nao watapigwa kirahisi tu haya mi nitakuja tu kufukua makaburi humu ila tu msikimbie thread yenu hii kama alivyofanya Mentor na Eden Kimario na wenzao kule
Hebu iheshimu arsenal, hata liva walitamba sana, ila walipikuja emirates waliytafuta mpira kwa tochi

Unapisema wana eriksen ,mm nitakwambia arsenal wana ozil

Ukisema wana kane ,mm nitakwambia arsenal wana auba

Hebu elewa mpira ni tactic na approach ,

Usi conclude et anafungwa ,

Mpira. Sio siasa za CCM unajua anashinda hata kabla ya uchaguz na kampen
 
@LTorreira34's numbers yesterday...

% passing accuracy
km covered
ball recoveries
duels
tackles

...and yet another man-of-the-match award

IMG-20181126-WA0007.jpeg
 
Hebu iheshimu arsenal, hata liva walitamba sana, ila walipikuja emirates waliytafuta mpira kwa tochi

Unapisema wana eriksen ,mm nitakwambia arsenal wana ozil

Ukisema wana kane ,mm nitakwambia arsenal wana auba

Hebu elewa mpira ni tactic na approach ,

Usi conclude et anafungwa ,

Mpira. Sio siasa za CCM unajua anashinda hata kabla ya uchaguz na kampen

Kwa hiyo tayari mmeshawazidi Tactics sio? All in All hiyo mechi ni ngumu kwa maana ya kwamba ina matokeo matatu ya mpira (win,draw,lose)
 
Kwa hiyo tayari mmeshawazidi Tactics sio? All in All hiyo mechi ni ngumu kwa maana ya kwamba ina matokeo matatu ya mpira (win,draw,lose)
Useme hivo ,ila tambua pale ni emirates lazima waje kwa adabu ,hata liver alitamba sana, ila hakuamin alichokiona
 
Lacazzete hakuwepo katika mchezo wa jana kwa sababu ya majeruhi na Kocha na timu ya madaktari wakaamua wachukue tahadhari ya kumweka nje ili apone vizuri.

Kwa upande wa Mesut Ozil ilikua ni swala la mbinu za kocha kutokana na aina ya mchezo labda aliona hatomfaa zaidi.

Nnacho kiongelea hapa ni Ubora wa Unai kwenye Kuusoma mchezo na kutambua game inataka nini kwa sababu hakuna ubishi kwamba Lacazette na Ozil ni wachezaji wetu muhimu msimu huu hasa ukiangalia takwimu zao kwa mechi za msimu huu.

Kitu kingine ni sub ya Torreira × Guendouzi, jana niliogopa sana kwa nini atoke Torreira ana kaba anajua kuzia alafu tuna ongoza atoke yeye tena? Jibu nilipata baada ya kuona impact ya Matteo maana kasi ya mashambulizi ya Bournemouth ilipungua kwa kiasi fulani na tukaanza kukaa na mpira na pressure ya timu ikapungua.

Mtu mwingine ni Mkhitaryan, kwa wale waelewa wa huu mchezo wana fahamu fika kwamba kuna kipindi mchezaji anakua kwenye fomu na mda mwingine anapoteana kabisa, ukimuangalia Mkhitaryan kwa game zilzopita kama ya Liverpool unaona kabisa haeleweki na dawa ya kutibu hili tatizo sio kumuweka mchezaji benchi maana ndo atazidi kupoteana na kupoteza kujiamini, nilimuelewa sana Unai alivo muacha apige dk zote maana ndo njia pekee ya kumrudisha kwenye kiwango chake.
ARSENAL%20THE%20GUNNERS%20%E2%9A%BD%2020181002_094735.jpeg
 
Useme hivo ,ila tambua pale ni emirates lazima waje kwa adabu ,hata liver alitamba sana, ila hakuamin alichokiona

Liverpool Hakuamini alichokiona wakati mechi yenu ya nyumbani na Liverpool ndio ilitoa proof kwamba mna hali mbaya au umeshasahau kuwa nyie ndio mlikuwa mnapigania walau point moja tokea nyuma baada ya Milner kuwawasha
 
Wewe kweli mpira hujui ,na hujijui kama...hujui

Naishia hapa,
 
Klabu ya Arsenal imeanza mazungumzo na Barcelona kuhusu uhamisho wa mshambuliaji kinda kutoka Ufaransa, Ousmane Dembele.

Arsenal inataka kumsajili mshambuliaji huyo mwenye miaka 21, hajafanikiwa kupata namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha Barcelona huku mfumo wake wa uchezaji ukionekana kuwa kikwazo.

Dembele anatumia zaidi mfumo wa kukimbiza wakati Barca mfumo unaotumika ni wa pasi fupifupi hivyo kujikuta akishindwa kuendana nao.

Inasemakana Barcelona imepanga kumuuza mshambuliaji huyo ili kutoa nafasi kwa Neymar, aliyeomba kurudi baada ya kuihama mwaka jana na kushindwa kupata ufanisi alioutaka ndani ya PSG ya Ufaransa.

Kocha Ernesto Valverde, amekiri kuwa Dembele licha ya umahiri wake lakini ameshindwa kuendana na mfumo wa Barcelona.

Hata hivyo Arsenal watakuwa na kazi pevu ya kumshawishi mshambuliaji huyo ambaye amesema bora arudi zake kuitumikia timu yake ya zamani ya Borussia Dortmund ya Ligi Kuu Ujerumani.
 
Hakuamini Alichokiona? Kweli Mpira una wenyewe!! Labda nikuulize mulioata Points ngapi?
Kabla ya game na mlichokishuhudia ndio mlichotarajia?

Shukuru game iliisha sare ,

Mlitamba sana lkn ,

Tulishuhudia kiungo wa £44m akirukaruka tu

Kama sio umakini wa belle tungekuwa tunaongea mengine, na mlishukuru ile sare
 
Wewe kweli mpira hujui ,na hujijui kama...hujui

Naishia hapa,

Usichachawe! Jibu hoja Nani kati ya Liverpool na Arsenal aliyekuwa akiitafuta draw? Coz kuna mmoja alichomekwa goli hapo akawa anahangaika kuchomoa!
 
Kabla ya game na mlichokishuhudia ndio mlichotarajia?

Shukuru game iliisha sare ,

Mlitamba sana lkn ,

Tulishuhudia kiungo wa £44m akirukaruka tu

Kama sio umakini wa belle tungekuwa tunaongea mengine, na mlishukuru ile sare

Tulishukuru Sare baada ya sisi Liverpool Kusawazisha dakika za mwisho au? Inaonesha tulikuwa tumeshalala munaongoza na dakika za mwisho tukabahatika kurudisha.
Nadhani ndiyo ilivyokuwa.
 
Usichachawe! Jibu hoja Nani kati ya Liverpool na Arsenal aliyekuwa akiitafuta draw? Coz kina mmoja alichomekwa goli hapo akawa anahangaika kuchomoa!
Hiv kusawazisha ndio kutafuta droo? Huon kama nilikuonesha umwamba? Nimesawazisha baada ya goli la papatupapatu, na bado nikawa nakutafuta

Kocha wako akawa anatafuta sare kwa kufanya sub dk za nyongeza

Leo unajitoa ufahamu,

Mlitamba sana , lkn mlipokuja emirate mkapoteana mwanzo mwisho

Sasa nakuja kukufumua hapo hapo kwako ,baada ya mwez mmoja

Au tutakutana pia UEROPA, maana unakuja huku, tiket yako anayo PSG
 
Aliyetamba ni nani? Na aliyeshangilia kupata sare ni nan kama si nyinyi?
 
Kama Arsenal Watakua na Pesa ya Kumleta Dembele wamchukue tuu....

Kila mtu ni mtukutu duniani, inategemea anaishi na kina nani tuu....

Aubameyoung walisema ni mtukutu pia lakini cha ajabu maisha yanasonga tuu pale north London....

Dembouz ni mtoto mdogo sana kwa Konki Konki Konki Unai Emery Master.... Aje tuu
 
Kama ita wezekana hili deal Lita kuwa poa sana, ila pia ina semekana Neymar ana taka kurudi Barca so Wana taka kufanya exchange kwamba Dembele aende PSG afu waongeze na hela kidogo.
 
Kamuulize kocha wako, had dk za mwisho anakenua meno ,anafanya sub apoteze muda ,maana watoto wa london walikuwa wanakuja kama nyuki
Baba sasa kwann hukushinda? Kwann mpaka utiwe na kuja kuchomoa dakk za mwisho. Muda wote huo ulikuwa unacheza nn hukushinda?
 
Liverpool Hakuamini alichokiona wakati mechi yenu ya nyumbani na Liverpool ndio ilitoa proof kwamba mna hali mbaya au umeshasahau kuwa nyie ndio mlikuwa mnapigania walau point moja tokea nyuma baada ya Milner kuwawasha
Ulicheki mechi????
 
Back
Top Bottom