Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
...ah,
Ukubwa jaa. To be offended is one's choice.
Take it easy.
Maisha yanaendelea.
Cheers buddy!
Take it easy.
...ah,
Ukubwa jaa. To be offended is one's choice.
Take it easy.
Maisha yanaendelea.
Hivi kwenye timu ya England kuna mchezaji wa Arsenal?
Hivi kwenye timu ya England kuna mchezaji wa Arsenal?
Hivi kwenye timu ya England kuna mchezaji wa Arsenal?
hivi kwenye first team ya arsenal kuna waingereza wangapi?
1st team? watatu. Kieran Gibbs, Sol Campbell, na Theo Walcott.
...he he,
Kwenye utaifa hakuna cha Arsenal, Man U wala Liverpool. Labda kama unataka kuzungumzia
anahitaji mapumziko awe fresh kwa msimu ujao, kwa maoni yangu [FONT=Boo.[/COLOR][/SIZE][/FONT]
Ajabu kwangu ni kuachwa Darren Bent na kuchukuliwa Emile Heskey. Anyway, Capello
ndio chaguo lake. Ameona Heskey ni Strike partner mzuri wa Rooney, sawa na Crouch kwa Defoe.
1st team? watatu. Kieran Gibbs, Sol Campbell, na Theo Walcott.
Mpaka sasa ni wachezaji watano (tu!) wa Arsenal waliokwishatangazwa na timu zao za taifa kuelekea World Cup South Africa. Nao ni;
Emmanuel Eboue - Ivory Coast
Nicholas Bendtner - Denmark
Robin Van Persie - Netherlands
Alex Song - Cameroon
Carlos Vela - Mexico.
Tunawasikilizia Spain, Switzerland na France nao wa confirm Squads zao.
nilitaka jamaa ajibu huyu manake swali lake lakukejeli nilitaka kumuonesha kwamba hao wachezaji wa uingereza waliokuwa timu ya arsenal wote second choices na kwamba sio England tu inayocheza world cup na nchi zingine zipo na wachezaji wa arsenal wapo.
Mbu asante sana! Na kwenye timu ya England inayokwenda SA kuna mchezaji wa Arsenal?
Hakuna, 'majority' wapo timu ya taifa ya Ufaransa!
Niliuliza kwa England nimejibiwa....hao wengine sikutaka kujua.
Haya sasa,
ha ha ha!... binadamu husoma/sikia kile anachokitaka tu.
Haya bro Masa, nimekusoma.
I miss Gaucho SA! Spain and Argentine are my teams
Any hope kwa African teams? ...sijui hata nimshangilie nani naona mauza uza tu, japo kama kawaida nawaombea mabaya Spain, Portugal na England.
Any hope kwa African teams? ...sijui hata nimshangilie nani naona mauza uza tu, japo kama kawaida nawaombea mabaya Spain, Portugal na England.