Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal Customer Service Number is 0800 10 10 10........i.e 0800- won nothing-won nothing-won nothing
 
Wacha dogo aondoke, what a wasteful time in Arse-anal 6 years no sign of trophy.....go go go Cesc

Acha dharau babu............Chelsea mbona mlikaa Nusu karne(miaka 50) bila kuchukua EPL bana....Sijui Roman asingekuja ingekuwaje.....hahaaaaaaaa....Btw......muache aondoke maana before Arsenal he was nothing ndo maana Barca wakaamua kumuuza Highbury kipindi hicho....Katengenezwa Arsenal aanza fyoko fyoko....Aende zake bana........ataandaliwa mwingine kama alivoandaliwa yeye........Sema dau lake tu....Barca wataliweza?????????...........Paundi milioni 80 si kidogo.....Natumaini ataibuka mwingine mkali zaidi yake kama yeye alivoibuka baada ya Vieira kuondoka..........................Vipi game ya jana ya Bayern na Inter......Uliionaje?????..............Mourinho anatisha babaake............Ngoja aende Madrid akawaondolee ukame wa vikombe
 
I failed history mazee, bado miaka 44 basi if that is the case......wewe mzee ulitulostisha nimegundua tabili zako huwa zinaenda kinyume...

Hahahahahah Mourhino umpende umchukie jamaa ni best anajua kujenga timu....hebu angalia wachezaji wake wanavyompenda....jamaa kichwa home boy
 
Hahaaaaaaaaaaaaaa..............Kila mtu wa Bayern jana kanilalamikia........madai ni kwamba nina gundu...Kila timu ninayoishabikia mwaka huu ni trophyless....Yanga-Arsenal-Real madrid-Juventus-Bayern Liverkusen na jana Bayern Munich katika final ya UEFA.......

Mourinho kichwa sana aisee.......anajua sana kuwapa courage ya ushindi wachezaji wake,we angalia akiwa Porto-Chelsea na sasa Inter...........yeye na wachezaji ni kama baba na wanawe.................Namkubali sana
 
Cesc is right to leave, hivi jiulize wewe unafanya kazi kiosk miaka saba... halafu mtaalam wa shopping complex [with proven gigantic platform] anakupa ajira, utakataa?
 
Binafsi napenda aondoke tu babu.........Maana jamaa walishamtapika na wanammeza tena.................Hope kuondoka kwake kutapelekea ujio wa kiungo mwingine
 
Ambaye naye akiona hakuna mafanikio kwa miaka 6 ijayo ataondoka tu! Si unajua pale wanakuza viwango....ni kama academy
 
Binafsi napenda aondoke tu babu.........Maana jamaa walishamtapika na wanammeza tena.................Hope kuondoka kwake kutapelekea ujio wa kiungo mwingine

...kwakweli!
No player is bigger than a team. Viera naye alikuwa anatuletea nyodo kama hizi kabla ya kuondoka, Fabregas aende zake tu. Hleb na Reyes pia ni mifano tosha ya 'waliolilia wembe...'

Mchezaji pekee ambaye bado ananiuma kwanini aliondoka Arsenal ni Nicolas Anelka, ingawa ilibidi tu aondoke jinsi Thierry Henry alivyokuwa amemfunika vibaya vibaya.
 
Ni kweli Mbu, Cesc aondoke tu anatutia presha bure
 
...kwakweli!
No player is bigger than a team. Viera naye alikuwa anatuletea nyodo kama hizi kabla ya kuondoka, Fabregas aende zake tu. Hleb na Reyes pia ni mifano tosha ya 'waliolilia wembe...'

Mchezaji pekee ambaye bado ananiuma kwanini aliondoka Arsenal ni Nicolas Anelka, ingawa ilibidi tu aondoke jinsi Thierry Henry alivyokuwa amemfunika vibaya vibaya.

Duuhh! Wewe jamaa ni MWONGO sijapata kuona! Au ni plastic Arsenal fan, ambaye hajui hata history ya club yake! Ebu niambie ni lini Nicolas Anelka na Thiery Henry walikuwa kwenye timu moja ya Arsenal??!!!! Henry alinunuliwa kuziba nafasi ya Anelka alipoondoka kwenda Madrid, they never played together at club level....sasa alimfunikia wapi?!!!! Daah! Arsenal fans, kama babu yenu Wenger, uongo, umbeya, udaku na double standard! Be real man! It's very obvious hujui hata kwanini Anelka aliondoka Arsenal, poor you!
 
Duuhh! Wewe jamaa ni MWONGO sijapata kuona! Au ni plastic Arsenal fan, ambaye hajui hata history ya club yake! Ebu niambie ni lini Nicolas Anelka na Thiery Henry walikuwa kwenye timu moja ya Arsenal??!!!! Henry alinunuliwa kuziba nafasi ya Anelka alipoondoka kwenda Madrid, they never played together at club level....sasa alimfunikia wapi?!!!! Daah! Arsenal fans, kama babu yenu Wenger, uongo, umbeya, udaku na double standard! Be real man!

Mkubwa umemsahau huyu jamaa alitangaza ubingwa baada ya kumfunga Liverfool!
 
Hi Masa mambo vp!
Hahahahahaha!! Jamaa kachemka kinoma! Anyway, ndio life sio kila mtu anachunguza nini cha kusema kabla hajasema! Ingekuwa viva hapo ishakuwa noma! Just make a critical, dickhead statement without any reference, and the world will fall on you!
 
Duuhh! Wewe jamaa ni MWONGO sijapata kuona! Au ni plastic Arsenal fan, ambaye hajui hata history ya club yake! Ebu niambie ni lini Nicolas Anelka na Thiery Henry walikuwa kwenye timu moja ya Arsenal??!!!! Henry alinunuliwa kuziba nafasi ya Anelka alipoondoka kwenda Madrid, they never played together at club level....sasa alimfunikia wapi?!!!! Daah! Arsenal fans, kama babu yenu Wenger, uongo, umbeya, udaku na double standard! Be real man! It's very obvious hujui hata kwanini Anelka aliondoka Arsenal, poor you!

Mkubwa umemsahau huyu jamaa alitangaza ubingwa baada ya kumfunga Liverfool!

Hi Masa mambo vp!
Hahahahahaha!! Jamaa kachemka kinoma! Anyway, ndio life sio kila mtu anachunguza nini cha kusema kabla hajasema! Ingekuwa viva hapo ishakuwa noma! Just make a critical, dickhead statement without any reference, and the world will fall on you!

...duhhh!!!

...Peasant hata wewe kaka?
Am speechless kupata critisism za namna hii toka kwenu wakuu. Kutoelewana lugha kupo, ndio maana kuna kutafuta ufafanuzi vilevile. Anyway, nimewasoma.
Shukran sana.
 
Hahaaaaaaaaaaaaaa..............Kila mtu wa Bayern jana kanilalamikia........madai ni kwamba nina gundu...Kila timu ninayoishabikia mwaka huu ni trophyless....Yanga-Arsenal-Real madrid-Juventus-Bayern Liverkusen na jana Bayern Munich katika final ya UEFA.......

Mourinho kichwa sana aisee.......anajua sana kuwapa courage ya ushindi wachezaji wake,we angalia akiwa Porto-Chelsea na sasa Inter...........yeye na wachezaji ni kama baba na wanawe.................Namkubali sana

Sometime i get a wishful dream of Jose in Arsenal... hahahahaha
Mimi ingawa namkubali sana Cesc, lakini naona ni muda muafaka kwa dogo kuondoka, ila Dau liwe la uhakika Wenger akamate jamaa wa uhakika, timu iko sana revolved on him.
 
...duhhh!!!

...Peasant hata wewe kaka?
Am speechless kupata critisism za namna hii toka kwenu wakuu. Kutoelewana lugha kupo, ndio maana kuna kutafuta ufafanuzi vilevile. Anyway, nimewasoma.
Shukran sana.

I actually tried to be as diplomatic as possible in this one! I just couldn't find the basis of your allegation, and am sorry if you got insulted!
 
Hi Masa mambo vp!
Hahahahahaha!! Jamaa kachemka kinoma! Anyway, ndio life sio kila mtu anachunguza nini cha kusema kabla hajasema! Ingekuwa viva hapo ishakuwa noma! Just make a critical, dickhead statement without any reference, and the world will fall on you!

Nipo Mazee! Nafatilia usajili wa mabingwa wa premier! Hivi Kuna sababu kweli ya kuja Brazil na kukomba hazina ya taifa?
 
I actually tried to be as diplomatic as possible in this one! I just couldn't find the basis of your allegation, and am sorry if you got insulted!

...ah,

Ukubwa jaa. To be offended is one's choice.
Take it easy.

Maisha yanaendelea.
 
Nipo Mazee! Nafatilia usajili wa mabingwa wa premier! Hivi Kuna sababu kweli ya kuja Brazil na kukomba hazina ya taifa?

Nafikiri hatuhitaji kusajili wachezaji wengi, kikosi kilichoko kiko fit ni kuongeza back ups tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom