At least Leo ntakula supper maana lunch iligoma mazee
Jidanganye, wewe utabak huko.huko namba 8Pamoja na mchezo mbovu, sio mbaya nafasi ya asernal tutaichukua kabla hatujamkabidhi nafasi yake ya sita, kuelekea kileleni
March 2019 uje Tena uoneJidanganye, wewe utabak huko.huko namba 8
Kazi ya Bournemouth imeisha, wale spurs wanakuja home hawawezi kutoka game itakuwa tough lakini tunashinda. Ukiwaogopa man unakuwa kichaa lilishabaki bango tu la mbwa mkali mbwa kafa zamani wamesahau kutoa bango. Man ilikuwa timu nzuri wakati ule siyo sasa.Mkuu bournemouth sio watu wazuri kabisa espicially wakiwa kwao leo unabanduka next match unabanduka pia na spurs af next man utd anakusubiri Guest house mbona utazaa triplets tuu mwaka huu![]()
Mi niliamua kubana mapumbu maana enzi zetu hii ilisaidia sana.Sikua na amani hii game,refa nae hakua sawa kabisa kwa upande wetu ule mpira wa adhabu wa mwisho nilifumba macho.
At least Leo ntakula supper maana lunch iligoma mazee
TehtehtehNishawashtukia Kuwa Muna Njama ya Kumshusha Chelsea
Hhhh.... Ngoj nibadili mtani...Hii Avatar yako inazingua bhana!
Wewe ME utaekaje Avatar ya KE


Anajua sana mkuu...angekuwa Cech Leo tungeongea mengineUyu Leno nataka niangalie clip zake u tube kama nilizo ziona leo n kwel, nataka nijiridhishe tu
Hhh kufumba macho!! Mi natokaga nje halafu after attempt nasikilizia kelele ni za aina gani kama tumekoswa ama tumefungwa....hata ile attempt ya mwisho ya wolves nilifanya hivyo...Sikua na amani hii game,refa nae hakua sawa kabisa kwa upande wetu ule mpira wa adhabu wa mwisho nilifumba macho.

Tunawakaribisha hao Tottenham
Angalia sana hiyo tar 2Tunawakaribisha hao Tottenham
Ni derby ,hivo lazima waje kwa tahadhar, ila wanakufa sina hofuHawa kuku wa Spurs wananivuruga hasaaaa maana wamemaliza pakti ya 3 bomba kwa Manyua alafu wakarudia tena kwa Chelshit kazi tunayo tar 2.