Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Emery on Torreira: "He said to us that he was a little tired... He was giving us good balance but also we have to be clever because he played with the national team for two matches and sometimes you need to listen to the players when they sometimes need rest." #AFC #Arsenal
Exactly
 
Kuna muda alivyoingia Guendouz nilikua nasikia sauti ya Unai tu "Matheo Matheo Matheo" yani anamkumbusha covering
IMG-20181125-WA0049.jpeg
 
Ni derby ,hivo lazima waje kwa tahadhar, ila wanakufa sina hofu

Likely Draw, mechi ni ngumu usidhani Tottenham wana beki mbovu kama ya Chelsea mliyotoka 3-2. Kati kati yupo Dier na Sissoko versus yenu ya Xhaka na Toreira. Kwa counter Tottenham hafungiki kirahisi na ndio magoli yenu sasa hivi. City walishinda 1-0 kwa shida mno licha ya kutengeneza nafasi nyingi na ubora wa Winga zake
 
Kazi ya Bournemouth imeisha, wale spurs wanakuja home hawawezi kutoka game itakuwa tough lakini tunashinda. Ukiwaogopa man unakuwa kichaa lilishabaki bango tu la mbwa mkali mbwa kafa zamani wamesahau kutoa bango. Man ilikuwa timu nzuri wakati ule siyo sasa.

Imagine shuti zile za xchaka na gonga za Emirates pale ni nani atatoka na miguu yote uwanjani kwa man. Lacazette hajacheza leo tunataka aje awaue toten.Man atawamaliza iwobi tu.

Timu za kujiandaa ni man city tu nao tukikutana huwa wanabebwa na refa kutafutiza penati waoga sana kwa arsenal. Uwezo tunao, nia tunayo, wachezaji bora tunao, kocha bora tunaye sasa wanaponaje man na toten.

Kupona toten ujue kapata sare jambo ambalo halikubaliki maana kocha amegoma.

Subiri uone, kwenye mpira kuna kitu kinaitwa form na kingine kinaitwa Class. Mourinho huwa hashindwi gameplan dhidi ya timu kubwa, hiyo game ina matokeo matatu
 
Mkuu AROON Jana nilikua namuangalia sana Iwobi, kijana kaimprove sana under Emery anapiga pasi za mwisho nzuri sana..Goli la 1 na la pili through passes zake ndio zimeleta magoli.
The same na game ya Liva.

Bado anahitaji afanyie kazi sana Finishing yake na kupiga mashuti.
Kuna muda alivyoingia Guendouz nilikua nasikia sauti ya Unai tu "Matheo Matheo Matheo" yani anamkumbusha coveringView attachment 946112
 
Mechi ngumu kwa Tottenham Mkuu.Sisi hatujui kufungwa kunafafanaje mechi 17 zilizopita.

Kiufupi Ushindi wa Tottenham Draw.Matokeo yatakua mawili tu Afungwe Au atafute sare.
Likely Draw, mechi ni ngumu usidhani Tottenham wana beki mbovu kama ya Chelsea mliyotoka 3-2. Kati kati yupo Dier na Sissoko versus yenu ya Xhaka na Toreira. Kwa counter Tottenham hafungiki kirahisi na ndio magoli yenu sasa hivi. City walishinda 1-0 kwa shida mno licha ya kutengeneza nafasi nyingi na ubora wa Winga zake
 
Likely Draw, mechi ni ngumu usidhani Tottenham wana beki mbovu kama ya Chelsea mliyotoka 3-2. Kati kati yupo Dier na Sissoko versus yenu ya Xhaka na Toreira. Kwa counter Tottenham hafungiki kirahisi na ndio magoli yenu sasa hivi. City walishinda 1-0 kwa shida mno licha ya kutengeneza nafasi nyingi na ubora wa Winga zake
Usikariri hivo, watapoteana tu, kila mech na approach yake

Kama ya bmouth kocha alicheza na bek 5 , na viungo wa 4
 
Hongera team! Hongera mwalim na bench la ufundi lote mechi haikuwa rahisi wapinzani wakiwa kwao huwa wasumbufu sana,

Lakini kitu pekee kilichotuweka active kwenye hii game ni Tactical ya walinzi watano'. Kwa kweli mfumo umesaidia na niliuwelewa mapema sana nilivoona mwalim kaset mfumo ule, najaribu kufkiria ingekuwaje tungeingia na mfumo wetu tuliouzowea wa beki zetu NNE na style ile ya Bellerin ya kusogea zaidi juu halaf huku anabaki Mustaph' nafkiria sana hilo lakini baadae nikajikinaisha na kusema hapa ndo unapoona faida ya kuwa na mwalim anaejifaham na kujuwa njia za kupambana na adui anaekutana nae mradi ahakikishe inavuna points!

Mzigo umefika na points 3 zilikuwa muhim zaidi kuliko kitu chochote na tumerudi tena kwenye njia ya ushindi katika wakati perfect sana, sjaona zogo la kikosi kuwa kimoja wala zogo la kikosi kipana,wachezaji wamecheza kama tunavotaka wacheze kila mmoja akichunga nitham na kuwa makini na kujifaham nini wajibu wake, na kukasaidia kuirudisha nyumbani team na points 3 muhim..
IMG-20181126-WA0015.jpeg
IMG-20181126-WA0013.jpeg
IMG-20181126-WA0014.jpeg
 
Usikariri hivo, watapoteana tu, kila mech na approach yake

Kama ya bmouth kocha alicheza na bek 5 , na viungo wa 4

Tottenham kuna Harry Kane kuna Eriksen kuna Dele Alli, mpira dakika tisini maneno kama haya hayaChelsea wameyaongea sana mwisho wao wakapigwa kichapo heavy na hao hao mnaoongea kirahisi kuwa mnawafunga. Kuna mmoja hapo juu anasema na Man Utd nao watapigwa kirahisi tu haya mi nitakuja tu kufukua makaburi humu ila tu msikimbie thread yenu hii kama alivyofanya Mentor na Eden Kimario na wenzao kule
 
Back
Top Bottom