Arsenal (The Gunners) | Special Thread

dah hawa jamaa tunawakosaje mbona tunawapigia mwingi hivi
 
Yaani Liverpool tumewapapasa wee, lkn tumeshindwa kuwaweka. Ila sio mbaya, ila huyu Muhuni Toreira sio mtu mzuri hakuna cha Milner wala Gini
 
nafikiri sasa utakuwa umepata jibu la wasiwasi wako narudia kusema tena hawa loserfoolish wanashindaga kibahati tu hawana timu kama wanavyoipamba sasa leo hao viungo uliokuwa unawagwaya na kina lucas nani aliupiga mwingi pale .......


COYG
 
hakuna cha jini wala shetani huyu torerra sio kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hapa Nimekuja na Mambo Mawili Kwa Leo.

1) La Kwanza Nakiri hadharani Kuwa Torreira sio Zaizi yetu Kabisa ametusumbua! Na kwa aliyeangalia Mpira basi atakubaliana na Mimi kuwa iliyotukamata Leo si Arsenal, Bali aliyetukamata Ni Torreira manake kaibadilisha game plan yetu yote kwenye Midfield.

2) Pili kuna Madogo Flani humu Walijifanya Wanajua Sheria kuliko Raisi Wa FA pale nilipowambia Kuwa yule dogo wenu aliyepigwa Red Card game ya Carabao kutokana na Sheria za FA hatacheza Mchezo wa Leo wao Wakajifanya wanajua Mpira wakabisha Kuwa anacheza.

Nawaasa Kuwa Sisi wengine Ni wakubwa Zao tumewatangulia katika soka hawana uwezo Wa kutubishia.
 
Mkuu bado tunakosa magoli ya wazi sana...Sijaridhishwa na Finishing yetu kabisa...
Timu inatengeneza nafasi sana Ila umaliziaji tatizo...

Leo Liverpool wamestahili kupata suluhu..tuliwakamata sana

Uko sahihi leo tumefanya vitu vingi sana hasa eneo la kiungo ila kwenye final 3rd ndio wameshindwa kutubeba,alafu dogo Bellerin alikua anafunga kurasa jioni kabisa ameshindwa tu kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…