Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
*ARSENAL TACTICS VS SPORTING LISBOA*
Timu zote Zilianza na Mchezo wa *4-3-3* Tofauti ni Kwamba *Arsenal* Kwa Muda Mrefu Walicheza *4-3-3* Bila ya kufanya Mabadiliko ya Kimfumo Kutokana na Kukosa Mabeki wa Pembeni Wenye Kasi na Muda Mwingi Tulipita Kwenye Kiungo Kuna Wakati Dakika *15* za Mwanzo Tulijaribu Kucheza *3-2-3-1* ama *3-5-2* ila ilishindikana Kutokana na Kasi ya kina *Bruno Fernandez na Luis Nani*
Sporting Lisbon wao Muda Mwingi Walicheza *4-3-3 na 4-5-1* na Kazi yao Kubwa Uwanjani ni Kukaba Kwa Haraka Katika Eneo Lote la Uwanja Ikiwemo Eneo letu la Ulinzi
Arsenal Leo ilikuwa na Wakati Mgumu Kwa Sababu
1.Kasi ya Sporting
2.Kukosa Natural Full Backs
Pamoja na Juhudi za Coach *UNAI EMERY* ya Kumuingiza *Alex Iwobi* na Kutengeneza *Pacha na Alexander Lacazete* Pia Haikusaidia Kufanya Timu Iwaelemee *Sporting Lisbon* na Kitu Pekee Alichowin Coach wa *Arsenal* ni Kumfanya *Lucas Torreira* Kuwa Match Coordinator na Kumpa Nafasi *Granith Xhaka* Kuanza Kukabia kwenye Eneo la Katikati ya Uwanja Sambamba na Kupeleka Mashambulizi
Kwa Kifupi *Mechi* ilikuwa Very Tactical na Kwa Aina ya Player wa Arsenal leo Hasa Kwenye Full Back na Kasi ya Sporting Lisbon Kuanzia Dk ya Mwanzo Mpaka Mwisho na Hata Goli Letu Kupatikana ni Juhudi Binafsi Sababu Tumetengeneza Nafasi 2 tu na Kufunga Nafasi 1 ya Dany Welbeck
I Hope Match Ijayo Dhidi ya *Crystal Palace* Tutakuwa na Wakali Wetu Kama *Héctor Belerin na Nacho Monreal* Ambao ni Msaada Mkubwa sana Katika Kutengeneza Mashambulizi Kwa Kutumia Mfumo wa *4-2-2-2*