Leo tunaenda waonesha uhalisia wa timu yenu before wiki ijayo hatujawapa kipigo cha kukarahisha
Mechi ngumu sana lakini tuna faida moja tu. Tuko kwenye hali ya mchezo.. sisi wanafunzi wa miaka hiyo physics tunasema tumegain momentumMatch ya leo ngumu wakuu
[emoji3] [emoji3] sawa mkuu ila kuna yule jamaa wanamuita wilifred zaha ni wa kumtazama sanaMechi ngumu sana lakini tuna faida moja tu. Tuko kwenye hali ya mchezo.. sisi wanafunzi wa miaka hiyo physics tunasema tumegain momentum
[emoji3] [emoji3] sawa mkuu ila kuna yule jamaa wanamuita wilifred zaha ni wa kumtazama sana
Zaha bwana daaaa,,,hivi team kubwa hazimuoni[emoji3] [emoji3] sawa mkuu ila kuna yule jamaa wanamuita wilifred zaha ni wa kumtazama sana
Hana nyota kubwaZaha bwana daaaa,,,hivi team kubwa hazimuoni
Mzee kwa kiwango chakeHana nyota kubwa