Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game limeanza.

Kutoka uwanja wa Estádio José Alvalade nchini Ureno.

Sporting CP

Kipa- Ribeiro; Ristovski, Coates, Andre Pinto, Acuna; Battaglia, Gudelj, Petrovic; Nani (c), Montero, Bruno Fernandes

Wachezaji wa akiba: Salin, Mane, Mathieu, Diaby, Gaspar, Jovane Cabral, Miguel Luis

Arsenal

Kipa Leno; Lichtsteiner, Sokratis, Holding, Xhaka; Guendouzi, Ramsey (c), Elneny; Mhkitaryan, Aubameyang, Welbeck

Wachezaji wa akiba: Martinez, Lacazette, Ozil, Torreira, Iwobi, Mustafi, Jenkinson

Xhaka anacheza kama beki wa kushoto.
 
Dakika 15 zimekwenda goli ni 0-0

Matteo Guendouzi ni mchezaji bora alesainiwa na Arsenal msimu,

Anatamba kwenye midfield akimwonyesha Torreira kwamba na yeye yumo.

Very interesting.
 
Dakika ya 24 imeenda Arsenal wamekataliwa penalty baada ya Elneny kuangushwa na beki wa SL Seb Coates.

Badala refa akasema ameangushwa nje ya eneo na Arsenal wamepewa mpira wa adhabu, Henrikh Mkhitaryan anapiga lakini unapanguliwa na kipa Renan Ribeiro.

0-0
 
Danny Welbeck anafunga goli lakini anaambiwa ameotea

Dakika inakwenda ya 73 goli ni 0-0
 
Kama Arsenal ikipata sare baada ya mchezo huu, yatakuwa ni matokeo mazuri.

Tutakuwa na mechi mbili za nyumbani na moja ya ugenini.
 
Danny Welbeeeeeeeeck

Sporting Lisbon 0 Arsenal 1

Crucial Goal!

Dakika ya 78 Danny Welbeck ambae alikataliwa goli la kwanza kwa kuotea anafunga goli muhimu kwenye kundi E

Pierre-Emerick Aubameyang anatoa pasi murua kabisa kwa Welbeck ambae anapiga chenga beki wa SL Sebastian Coates ambae ni beki wa zamani wa Liverpool na Sunderland.

Welbeck anaachia shuti ndogo kutoka mita 16 na kipa Ribeiro hakuwa na chance.
 
Welbeck anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Alexandre Lacazette.

Alex Iwobi nae anaingia badala ya Aubameyang.
 
Usajili updates: Arsenal wanawafuatilia mabeki wawili wa kushoto.

Arsenal wameanza biashara mapema asubuhi na wanatafuta beki wa kushoto kuja kuziba nafasi ya Nacho Monreal.

Pia beki huyo atakuwa "understudy" wa Saed Kolasinac.

Saed na Monreal hivi sasa ni majeruhi na Granit Xhaka amekuwa akitumiwa kucheza nafasi hiyo.

Tayari maskauti wa Arsenal wamemtambua beki wa kushoto wa Ajax Amsterdam mu-Argentina Nicolas Tagliafico ambae ana umri wa miaka 26

1540495258733.png

Nicolas Tagliafico amechezea Argentina mechi 10. na ana mkataba na Ajax Amsterdam hadi 2022

Pia maskauti wa Arsenal wanaangalia "situation" pale Liverpool kwa beki wao wa kushoto Albert Moreno ambae alikuwa mchezaji wa Unai Emery kwenye timu ya Sevilla ya Hispania.

Twangoja kwa hamu usajili wa mwezi January 2019.

COYGs!
 
3-1 vs West Ham
2-3 vs Cardiff
1-2 vs Newcastle
4-2 vs Vorskla
2-0 vs Everton
3-1 vs Brentford
2-0 vs Watford
0-3 vs Qarabag
1-5 vs Fulham
3-1 vs Leicester
0-1 vs Sporting CP
¡El Arsenal de Emery suma 11 victorias seguidas!
 
Back
Top Bottom