UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Nafikir ni game plan ya jamaa actually sio nzuri na kuna wakati defense inayumba nafikiri tumpe muda tuone sababu anatia moyo kiukweli na kwa ligi kama ile ukiwa na mwalimu anaependa kuumia kichwa baada ya mistake lazima mafanikio yaje na hiki ndicho alicho nacho jamaa huwa hakati tamaa. Unaona kabisa anakijua anachokitakaHali sio mbaya kwa sasa,Unai ameleta kitu kipya lazima tukubali angalau sasa ivi timu ina plan B na wachezaji wa uthubutu wa kupambana mpaka mwisho bila kujali matokeo yaliyopo.
Ingawa tuna tatizo kutokua na nidhamu ya mchezo mwanzoni mwa mchezo mara nyingi kipindi cha kwanza tunakua tupo kawaida ikitokea tutakutana na wahuni ambao watatuadhibu vibaya kipindi cha kwanza itakua shida ila tunarudi mchezoni kipindi cha pili.
