Bora uangalie Arsenal Futuhi kuliko Man United anavyopoteza muda kule UEFA..
Wazeee wa futuhi mpoo, kesho hamtoki
Wazeee wa futuhi mpoo, kesho hamtoki
Kufundisha timu yenye Mastar ni ngumu sana,,,Ndio maana Unai saiz Ana enjoy tmu ina shine kwakuwa anachoelekeza ndo vijana wanafanya,,,hamna anayejiona yuko juu ya mwenzake,,,kila mmoja anakaza,,,Ozil ndo star lakn siku hz unamuona anarud nyuma anakaba fresh kusaidia tmu,,,,,ila naichek PSG hapo naona kabsa challenges alizokuwa anapitia Emery ila watu walikuwa hawazioni,,,waweza kuta alikuwa anawaelekez hv,,,kufika ndani Neymar anafanya anachojisikia halaf huwez mwambia unabaki unamuacha,,,maana PSG neymar ndo anawapotezea mda hawajui tu,,,
Piga Kazi Unai Kwa Vijana wenye nidhamu,,,View attachment 909925
Hoffenheim want to make their loan move for Reiss Nelson a permanent one. However, they have no option at the end of the loan to do so. Arsenal have also said they have no intention of selling Nelson. [BILD]
Mkuu unamkumbuka mtoto wetu anaitwa Serge Gnabry mjerumani Yule...Tulifanya makosa sana kumuuza jumla...
Arsenal vijana wetu hatuwatunzi huyu Nelson anaonekana atakuja kuwa mzuri hamna sababu ya kumuuza.
Kufundisha timu yenye Mastar ni ngumu sana,,,Ndio maana Unai saiz Ana enjoy tmu ina shine kwakuwa anachoelekeza ndo vijana wanafanya,,,hamna anayejiona yuko juu ya mwenzake,,,kila mmoja anakaza,,,Ozil ndo star lakn siku hz unamuona anarud nyuma anakaba fresh kusaidia tmu,,,,,ila naichek PSG hapo naona kabsa challenges alizokuwa anapitia Emery ila watu walikuwa hawazioni,,,waweza kuta alikuwa anawaelekez hv,,,kufika ndani Neymar anafanya anachojisikia halaf huwez mwambia unabaki unamuacha,,,maana PSG neymar ndo anawapotezea mda hawajui tu,,,
Piga Kazi Unai Kwa Vijana wenye nidhamu,,,View attachment 909925
Namkumbuka, wenger alimuuza sijui why,Mkuu unamkumbuka mtoto wetu anaitwa Serge Gnabry mjerumani Yule...Tulifanya makosa sana kumuuza jumla...
Arsenal vijana wetu hatuwatunzi huyu Nelson anaonekana atakuja kuwa mzuri hamna sababu ya kumuuza.
uliiombea liver, MAJERUHI, DROO AU KUFUNGWA vipi kuna chochote ulichoambulia kwenye dua zako?Namkumbuka, wenger alimuuza sijui why,
Huyu bodi imesema haimuuzi
Mbona povu hivo ,haya kafulie boxeruliiombea liver, MAJERUHI, DROO AU KUFUNGWA vipi kuna chochote ulichoambulia kwenye dua zako?
?
Sasa hapo povu liko wapi? chuki zitakuua mkuuMbona povu hivo ,haya kafulie boxer
"I don't focus on winning the trophy,i focus on winning my next match."Some of the quotes from our manager Unai Emery
1. I don't forcus on winning the trophy, I forcus on winning my next match.
2. I prefer wining 5:4 than winning 1:0
3. I don't need strikers in my team, I need goal scorers.
4. All teams are equal, I don't put forcus on particular teams.
5. Am not happy for winning 9 game in a row, am happy coz our team is improving.
6. Am not an Arsenal couch, am an Arsenal fan. As a fan I want to see my team win.
7. It's not the best formation that wins matches, it's the players aggressiveness and hard work.
8. Drawing is the same as loosing, all I prefer is a Win.
9. I don't have a permanent starting XI, all our players are starting materials.
10. I feel at home with Arsenal
*Which is the best quote from our Manager Unai Emery?*View attachment 910190
Hata ubingwa mnaweza kugombea mkuuHahaaaaaa wewe jamaa bhana umenichekesha, sisi hatugombei ubingwa, ila tunataka top 4,
Mahesabu tutapiga mwishoni mwa.msimu

...