Kufundisha timu yenye Mastar ni ngumu sana,,,Ndio maana Unai saiz Ana enjoy tmu ina shine kwakuwa anachoelekeza ndo vijana wanafanya,,,hamna anayejiona yuko juu ya mwenzake,,,kila mmoja anakaza,,,Ozil ndo star lakn siku hz unamuona anarud nyuma anakaba fresh kusaidia tmu,,,,,ila naichek PSG hapo naona kabsa challenges alizokuwa anapitia Emery ila watu walikuwa hawazioni,,,waweza kuta alikuwa anawaelekez hv,,,kufika ndani Neymar anafanya anachojisikia halaf huwez mwambia unabaki unamuacha,,,maana PSG neymar ndo anawapotezea mda hawajui tu,,,
Piga Kazi Unai Kwa Vijana wenye nidhamu,,,

