Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,399
Unatumia bangi za wapi mkuu na mimi unionjeshe
Arsenal imeshinda mechi 4 mfululizo za ligi kuu mpaka sasa na kushindwa 2
Hata hivyo hapa UK nimekuja tu juzi na kuna sehemu moja kwenye mji wa Leicester wana mtambo unafyatua kitu chaitwa black mamba.
Wazungu wanaipatapata kishenzi.
Nafuatilia hiyo.